Nenda kwa yaliyomo

Rodi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:06, 24 Februari 2021 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)


Rhodi au Rodi (Rhodium)
Ubamba na waya ya Rhodi
Ubamba na waya ya Rhodi
Jina la Elementi Rhodi au Rodi (Rhodium)
Alama Rh
Namba atomia 45
Mfululizo safu Metali ya mpito
Uzani atomia 102.9055
Valensi 2, 8, 18, 16, 1
Densiti 12.41 g/cm³
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka 2237 K (1964 °C)
Kiwango cha kuchemka 3968 K (3695 °C)
Hali maada mango
Mengineyo metali ghali duniani kutokana na uhaba

Rhodi (pia: Rodi - kutoka Kigiriki rhodeos, "nyekundu kama waridi" kwa sababu kampaundi zake mara nyingi huwa na rangi nyekundu) ni elementi na metali haba duniani. Kikemia ni elementi ya mpito yenye kifupi cha Rh na namba atomia 45 katika mfumo radidia.

Tabia na matumizi

[hariri | hariri chanzo]

Rhodi ni metali ngumu yenye rangi nyeupe-kifedha. Haimenyuki kirahisi na asidi au hewa, hivyo hutafutwa kwa kuunda aloi inamoongeza ugumu na kuzuia kuoksidisha kwa aloi.

Kutokana na uhaba na faida zake ni metali ghali kabisa duniani inayouzwa na kununuliwa sokoni.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rodi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.