Nenda kwa yaliyomo

Kimorouas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 05:24, 20 Mei 2017 na Baba Tabita (majadiliano | michango) (kuondoa kiungo kitupu cha llmap using AWB)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Kimorouas ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wamorouas kwenye kisiwa cha Santo. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kimorouas imehesabiwa kuwa watu 150. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimorouas iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimorouas kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.