Saint Kitts na Nevis


Saint Kitts na Nevis ni nchi ya visiwani kwenye visiwa viwili vya Bahari ya Karibi na nchi ndogo kabisa ya Amerika yote.

Federation of Saint Kitts and Nevis
Shirikisho la Saint Christopher na Nevis
Bendera ya Saint Kitts na Nevis Nembo ya Saint Kitts na Nevis
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Country Above Self - Nchi mbele ya nafsi !
Wimbo wa taifa: "O Land of Beauty!"
Wimbo wa Kifalme: "God Save the King"
Lokeshen ya Saint Kitts na Nevis
Mji mkuu Basseterre
17°18′ N 62°44′ W
Mji mkubwa nchini Basseterre
Lugha rasmi Kiingereza
Serikali Demokrasia
Nchi ya jumuiya ya madola
Charles III wa Uingereza
Dame Marcella Liburd
Dr. Terrance Drew
Uhuru
Tarehe
19 Septemba 1983
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
261 km² (ya 207)
kidogo sana
Idadi ya watu
 - [[2015]] kadirio
 - [[2001|2001]] sensa
 - Msongamano wa watu
 
54,961 (ya 209)
46,325
164/km² (ya 64)
Fedha East Caribbean dollar (XCD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-4)
(UTC)
Intaneti TLD .kn
Kodi ya simu +1-869

-



Ramani ya St. Kitts na Nevis

Mji mkuu wa Basseterre uko kwenye kisiwa cha Saint Kitts. Kisiwa kidogo cha Nevis (kutoka jina la zamani la Kihispania: Nuestra Señora de las Nieves) kipo km 3 kusini-mashariki kwa Saint Kitts.

Zamani pia kisiwa cha Anguilla kiliunganishwa na visiwa hivi kuwa koloni moja la Uingereza.

Wakazi ni 54,961: wengi wana asili ya Afrika (75.1%) au ni machotara Wafrika-Wazungu (12.3%).

Lugha rasmi ni Kiingereza, lakini ile ya kawaida ni Krioli.

Upande wa dini, 82.4% ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali, kuanzia Waanglikana na Wamethodisti.

Tazama pia

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons


Serikali
Taarifa za jumla
Ramani
Utalii
Habari
  Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Saint Kitts na Nevis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.