Kimwerlap
Kimwerlap (au Kimerlav) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wamwerlap kwenye visiwa vya Mere Lava na Merig. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimwerlap imehesabiwa kuwa watu 1350. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimwerlap iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimwerlap kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimwerlap Archived 3 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimwerlap katika Glottolog
- lugha ya Kimwerlap kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimwerlap kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |