Anatole France
Anatole France (16 Aprili 1844 – 12 Oktoba 1924) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa aliandika riwaya. Mwaka wa 1921 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anatole France kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |