Amabili (kwa Kilatini: Amabilis; kwa Kifaransa: Amable; 398 hivi - 475 hivi) alikuwa padri katika Ufaransa wa leo [1]

Mt. Amabili alivyochorwa.

Habari zake zimesimuliwa na Gregori wa Tours [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Oktoba[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.