Porto Velho
Porto Velho ni mji mkuu wa jimbo la Rondônia katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2008, kuna wakazi wapatao 380,000 wanaoishi katika mji huo. Mji upo m 85 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Porto Velho | |||
| |||
Majiranukta: 8°45′43″S 63°54′14″W / 8.76194°S 63.90389°W | |||
Nchi | Brazil | ||
---|---|---|---|
Kanda | North | ||
Jimbo | Rondônia | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 379,186 | ||
Tovuti: www.portovelho.ro.gov.br |
Porto Velho ni mji wa bandari uliopo kwenye Mto Madeira. Wakati wa miezi ya mvua usawa wa maji hupanda juu, na meli kutoka Atlantiki hufikia Porto Velho.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- (Kireno) Tovuti rasmi
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Porto Velho kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |