Papa Sergio II
Papa Sergio II alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Januari 844 hadi kifo chake tarehe 27 Januari 847[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].
Alimfuata Papa Gregori IV akafuatwa na Papa Leo IV.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Sergio II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |