Nadine Gordimer
Mwandishi kutokea nchi ya Afrika Kusini
Nadine Gordimer (20 Novemba 1923 - 13 Julai 2014) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Afrika Kusini. Hasa aliandika riwaya dhidi ya siasa ya ubaguzi wa rangi (yaani apartheid), na kuonyesha uharibifu katika maisha ya Waafrika. Mwaka wa 1991 alishinda Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Nadine Gordimer | |
Amezaliwa | 20 Novemba 1923 Afrika Kusini |
---|---|
Amekufa | 13 July 2014 |
Nchi | Afrika Kusini |
Kazi yake | Mwandishi |
Ndoa | Gerald Gavron (1949-?; waliwachana; mtoto 1) Reinhold Cassirer (1954-2001; mtoto 1) |
Angalia pia
haririMarejeo
hariri- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nadine Gordimer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |