Mkoa wa Matam
Mkoa wa Matam ni mkoa mmojawapo nchini Senegal. Makao makuu yako mjini Matam . Eneo la mkoa ni kilomita za mraba 29,445. Wakati wa sensa ya mwaka 2013 mkoa ulikuwa na wakazi 562,539.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Senegal: Administrative division, tovuti ya citypopulation.de, iliangaliwa Januari 2022