Kizaza au Kidimli (Zazaki, Dımılki) ni lugha ya kitaifa ya Uzaza. Ni kati ya lugha za Kihindi-Kiajemi za lugha za Kihindi-kiulaya. Inatumiwa hasa katika nchi zifuatazo:

  • Zazaki (Turuki)
  • Dımılki
  • Kırmancki

Kuna wasemaji wa lugha ya kwanza milioni 3, na takriban wasemaji wengine milioni 3- 4 kama lugha ya pili.

  • Katika Elazığ, Diyarbakır, Bingöl penye wasemaji takriban milioni 2 lugha inaitwa "Zazaki" .
  • Katika Siverek, Gerger, Şanlıurfa penye wasemaji milioni 1 pia lugha inaitwa "Kidimli".

Viungo vya nje

hariri