Kadi za zawadi za Airbnb

Unatoa. Wanaenda.

Peleka ulimwengu wa Airbnb kwa marafiki na familia. Sherehekea sikukuu, tambua nyakati muhimu na uhamasishe kusafiri. Wasaidie kwenda popote, wakati wowote, kwa kuwa muda wake wa matumizi hauishi kamwe.Unafanya ununuzi kwa ajili ya biashara?

Chagua muundo wako

Ubunifu wa kuhamasisha
Kadi za zawadi zinaweza kufanywa mahususi kwa kutumia muundo utakaochagua, ujumbe na kiwango cha zawadi
Rahisi kutuma
Inawasili ndani ya dakika chache kupitia ujumbe au barua pepe na tutathibitisha kuwa imepokelewa
Haiishi muda wake wa matumizi kamwe
Salio la zawadi linapatikana kwa ajili ya kutumiwa wakati wowote wanapokuwa tayari kusafiri

Kadi za zawadi kwa ajili ya biashara

Onyesha shukrani zako kwa wafanyakazi na wateja kupitia zawadi ambayo ni rahisi kutoa kwa tukio lolote.Kutoa oda ya USD 10,000 au zaidi, wasiliana na kitengo cha mauzo.
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Kwa maswali zaidi tembelea Kituo cha Msaada.
Kwa maswali zaidi tembelea Kituo cha Msaada.