Until the End of Time
Mandhari
(Elekezwa kutoka Until the End of Time (albamu))
Until the End of Time | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya 2Pac | |||||
Imetolewa | 27 Machi 2001 | ||||
Imerekodiwa | 1995-1996 | ||||
Aina | Hip hop | ||||
Lebo | Amaru/Death Row | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za 2Pac | |||||
|
Until the End of Time ni albamu ya tatu kutolewa baada ya kifo cha rapa Tupac Shakur. Albamu imebeba maujanja ambayo awali hayakutolewa na maremixi kibao ya manyimbo kutoka katika kipindi cha Tupac cha "Makaveli" wakati ameingia mkataba na Death Row Records. Albamu hii ilikuwa ya pili kutolewa bila kutiwa maujanja ya Shakur mwenyewe. Until the End of Time ilikuwa ikibatabiliwa sana kwamba itakuwa albamu bora ya hip hop kimauzo na kuishia kama ilivyotabiliwa mnamo 2001.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]Disc 1
[hariri | hariri chanzo]- "Ballad of a Dead Soulja" - 4:16 prod by. johnny J
- "Fuck Friendz" - 5:20 prod by. QD3
- "Lil' Homies" - 3:40 prod by. Johnny J
- "Let 'em Have It" (Akishirikishwa: SKG) - 4:53 prod by. LT Hutton
- "Good Life" (Akishirikishwa: Big Syke, E.D.I.) - 4:17 prod by. Mike Mosley
- "Letter 2 My Unborn" - 3:55 prod by. Johnny J & Trackmasters
- "Breathin'" (Akishirikishwa: Outlawz) - 4:05 prod by. Johnny J
- "Happy Home " - 3:57 prod by. Johnny J
- "All Out" (Akishirikishwa: Outlawz) - 5:33
- "Fuckin' wit' the Wrong Nigga" - 3:38 prod by. Tyrone Wrice
- "Thug N U, Thug N Me (Remix)" (Akishirikishwa: KCi & JoJo) - 4:12 prod by. Johnny J
- "Everything They Owe" - 3:08 prod by. Johnny J
- "Until the End of Time" - 4:27 prod by. Johnny J & Trackmasters
- "M.O.B." (Akishirikishwa: Thug Life, Outlawz) - 5:01 prod by. Kurt "Kobane" Couthon
- "Worldwide Mob Figgaz" (Akishirikishwa: Outlawz) - 4:38 prod by. Johnny J
Disc 2
[hariri | hariri chanzo]- "Big Syke Interlude" - 1:46
- "My Closest Road Dogz" - 4:05 prod by. Johnny J
- "Niggaz Nature (Remix)"(Akishirikishwa: Lil' Mo) - 5:04 prod by. QD3
- "When Thugz Cry" - 4:23 prod by. Johnny J
- "U Don't Have 2 Worry" (Akishirikishwa: Outlawz) - 5:08 prod by. QD3
- "This Ain't Livin'" - 3:42 prod by. Johnny J
- "Why U Turn on Me?" - 3:33 prod by. 2Pac
- "Lastonesleft" (Akishirikishwa: Outlawz) - 4:00 prod by. Johnny J
- "Thug N U, Thug N Me" (Akishirikishwa: KCi & JoJo) - 4:29 prod by. Johnny J
- "Words 2 My First Born" (Akishirikishwa: Above the Law) - 4:08 prod by. Dj Quik
- "Let 'em Have It (Remix)" (Akishirikishwa: Left Eye) - 4:53 prod by. LT Hutton
- "Runnin' on E" (Akishirikishwa: Outlawz, Nutt-So) - 5:38 prod by. 2Pac
- "When I Get Free" (Akishirikishwa: J. Valentine) - 4:30 prod by. Johnny J
- "Until the End of Time (RP Remix)" (Akishirikishwa: Richard Page) - 4:28 prod by. Johnny J & Trackmasters
Chati za albamu
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Billboard 200 | Top R&B/Hip Hop Albums | Canadian Albums Chart |
---|---|---|---|
2001 | 1 | 1 | 2 |
Single za albamu
[hariri | hariri chanzo]Maelezo ya single |
---|
"Until the End of Time"
|
"Letter 2 My Unborn"
|
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Until the End of Time kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |