Nenda kwa yaliyomo

Shirika la Bidhaa Pepe Huru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Free Software Foundation)
Free Software Foundation
Shirika la Bidhaa Pepe Huru
Free Software Foundation logo
Free Software Foundation logo
Aina ya jumuiya:NGO na ni Shirika Lisilo na Maslahi
Mahali:Boston, Massachusetts
Uga:Bidhaa pepe Huru
Huduma:GNU Project
GPL
LGPL
GFDL
Tovuti:www.fsf.org

Free Software Foundation (FSF) ni Shirika Lisilo la Kiserikali. Lilianzishwa mnamo tar. 4 Oktoba ya mwaka wa 1985 na Richard Stallman kwa lengo la kusaidia harakati za bidhaa pepe huru ("huru" na "uhuru zaidi"), ususani ilikuwa kwa ajili ya mradi wa GNU.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]