Utah
Utah | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Salt Lake City | ||
Eneo | |||
- Jumla | 219,887 km² | ||
- Kavu | 212,751 km² | ||
- Maji | 7,136 km² | ||
Tovuti: http://www.utah.gov/ |
Utah ni jimbo la Marekani upande wa magharibi ya nchi. Mji mkuu na mji mkubwa ni Salt Lake City (mji ya ziwa wa chumvi). Imepakana na Idaho, Wyoming, Colorado, Arizona, na Nevada. Jimbo lina wakazi wapatao 2,736,424 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 219,887. Tangu 1896 eneo lilipata hali ya jimbo la kujitawala.
Gavana amekuwa tangu Agosti 2009 Gary Richard Herbert.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Utah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |