Kiifo
Mandhari
Kiifo ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu iliyozungumzwa na Waifo kwenye kisiwa cha Erromanga. Msemaji wa Kiifo wa mwisho alifariki mwaka wa 1954, yaani lugha imetoweka kabisa sasa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiifo iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiifo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiifo Archived 3 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiifo katika Glottolog
- lugha ya Kiifo kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiifo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |