X-Men
Mandhari
X-Men (Watu-X) | |
---|---|
Maelezo ya chapisho | |
Mchapishaji | Marvel Comics |
Kujitokeza kwanza | The X-Men #1 (Septemba 1963) |
Waumbaji |
Stan Lee Jack Kirby |
Vituo | Utopia Xavier Institute for Higher Learning Australia Graymalkin Industries |
X-Men (Kiswahili: Watu-X) ni timu ya supa-mashujaa wa mutanti wa ulimwengu wa Marvel Comics.
Orodha ya X-Men
[hariri | hariri chanzo]1963-1966
[hariri | hariri chanzo]- Professor X (Profesa X) - Mwanazalishi wa X-Men na mkuu wa Xavier Institute for Higher Learning.
- Cyclops (Siklopsi) - Alikuwa mwanachama wa kwanza wa X-Men.
- Iceman (Mtu-Barafu) - Ana uwezo wa kutawala na kutupa barafu.
- Angel (Malaika) - Mutanti mwenye mabawa.
- Beast (Nunda) - Ana manyoya ya buluu na nguvu ya juu.
- Marvel Girl (Msichana-Ajabu) - Mutanti mwenye telepathi na telekinesi
1966-1969
[hariri | hariri chanzo]- Havok (Uangamizi) - Mutanti mwenye uwezo kupiga mionzi ya utegili kutoka mikono yake.
- Polaris - Ana mamlaka ya sumaku
- Mimic (Mwiga)
- Changeling (Chenjilingi)
1975-1979
[hariri | hariri chanzo]- Sunfire (Moto wa Jua)
- Thunderbird (Ndegeradi)
- Banshee (Banshi)
- Colossus (Koloso)
- Nightcrawler (Shetani-Usiku)
- Storm (Dhoruba)
- Wolverine (Fisi-milima)
1980-1989
[hariri | hariri chanzo]- Magneto
- Shadowcat (Paka-Vivuli)
- Rogue (Ayari)
- Forge (Mhunzi)
- Psylocke
- Phoenix (Finiksi)
- Lockheed
- Dazzler (Kimeta)
- Longshot
1990-1999
[hariri | hariri chanzo]- Jubilee (Jubilii)
- Gambit (Gambiti)
- Bishop (Askofu)
- Revanche (Ulipizi)
- Cannonball (Mpira wa Mzinga)
- Marrow (Uboho)
- X-Man (Mtu-X)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu X-Men kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |