Kingstown
Mandhari
Mji wa Kingstown na bandari yake | |
Utawala | Ushirika raia Saint George |
Anwani ya kijiografia | Latitudo: 13°10′N Longitudo: 61°14′W. |
Kimo | ? m juu ya UB |
Eneo | - ? km² |
Wakazi | - mji: 15,900 (1999) |
Msongamano wa watu | watu ? kwa km² |
Simu | +1784 (nchi yote) |
Mahali | |
Kingstown ni mji mkuu wa nchi ya visiwani ya Saint Vincent na Grenadini mwenye wakazi wapatao 16,000. Iko kwenye kisiwa kuu cha Saint Vincent kilicho sehemu za Antili Ndogo. Ni pia bandari kuu ya nchi.
Kingstown ilikuwa nyumbani ya Hugh Mulzac (1886-1971) aliyehamia Marekani na kuwa Mwamerika mweusi wa kwanza wa kuwa nahodha wa meli ya Marekani.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Habari za Kingstown na St. Vincent (kiing.) Archived 18 Februari 2007 at the Wayback Machine.