Nenda kwa yaliyomo

Uhuru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:27, 26 Februari 2017 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Uhuru (kwa Kiingereza freedom) ni hali ya kuweza kufanya mambo bila kuingiliwa na yeyote au hali yoyote.

Unaweza kumhusu mtu binafsi hadi nchi nzima.

Uhuru humwezesha mtu kujitawala kiakili, kidini na kimaadili.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]