Nenda kwa yaliyomo

Uhuru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:13, 26 Februari 2017 na Wijom (majadiliano | michango)

Uhuru (kwa Kiingereza freedom) ni hali ya kuweza kufanya mambo bila kuingiliwa na yeyote au hali yoyote.

Unaweza kumhusu mtu binafsi hadi nchi nzima. Lakini pia HUWEZA KUMSAIDIA MTU KIAKILI YA KUJITAWALA MWENYEWE.Bila kusahau pia uhuru humuwezesha mtu kujitawala mwenyewe kifira,kiakili,kidini na hata pia kimawazo.

Tazama pia

Makala hii kuhusu "Uhuru" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.