8 Septemba
Mandhari
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
Waliozaliwa
- 801 - Mtakatifu Ansgar, Askofu wa Hamburg
- 1380 - Mtakatifu Bernardino wa Siena, padri wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1830 - Frederic Mistral, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1904
- 1918 - Derek Barton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1969
- 1941 - Bernie Sanders, mwanasiasa kutoka Marekani
- 1946 - Aziz Sancar, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2015
- 1947 - Amos Biwott, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Kenya
- 1971 - Richie Spice, mwanamuziki kutoka Jamaika
Waliofariki
- 701 - Mtakatifu Papa Sergio I
- 1654 - Mtakatifu Petro Claver, S.I., padri mmisionari kutoka Hispania
- 1965 - Hermann Staudinger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1953
- 1980 - Willard Libby, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1960
- 1981 - Hideki Yukawa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1949
- 1985 - John Enders, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1954
- 2007 - Shenazi Salum, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania