Nenda kwa yaliyomo

Ur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 11:21, 11 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5699 (translate me))
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Picha kutoka Ur

Ur ilikuwa mji katika Mesopotamia ya kale. Mahali pake ni katika Iraq ya leo kusini ya Baghdad. Inaaminiwa ilikuwa kati ya miji ya kwanza kabisa duniani.

Iliwanzishwa na watu wa Sumeri katika milenia ya tatu KK.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ur kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.