Nenda kwa yaliyomo

Frank Lloyd Wright

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:10, 9 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 94 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5604 (translate me))
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
F.L. Wright kwenye stempu ya Marekani

Frank Lloyd Wright (8 Juni 18679 Aprili 1959) alikuwa msanifu majengo nchini Marekani aliyekuwa maarufu mwanzoni wa karne ya 20. Alilenga kubuni majengo kulingana na mazingira asilia ya mahali ("organic architecture").

Alisoma usanifu majengio kwenye chuo kikuu cha Wisconsin lakini aliondoka 1887 bila cheti. Alipata kazi kwa wasanifu mbalimbali na kuanza kampuni yake 1893.

Katika falsafa yake alilenga kujenga nyumba inayofaa mazingira yake. Hii inaonekana katika nyumba ya maporomoko (Falling Water) alipojenga nyumba juu ya poromoko ya mto bila kulizuia.

Kwa jumla alibuni zaidi ya 1,000 na kutekeleza majengo zaidi ya 400.


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frank Lloyd Wright kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.