1821
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1790 |
Miaka ya 1800 |
Miaka ya 1810 |
Miaka ya 1820
| Miaka ya 1830
| Miaka ya 1840
| Miaka ya 1850
| ►
◄◄ |
◄ |
1817 |
1818 |
1819 |
1820 |
1821
| 1822
| 1823
| 1824
| 1825
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1821 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 15 Septemba - Nchi ya El Salvador inapata uhuru kutoka kwa Wahispania.
- 27 Septemba - Hispania inatambua uhuru wa Mexiko katika mkataba wa Cordoba
- 28 Novemba - Nchi ya Panama inapata uhuru kutoka Hispania ikawa sehemu ya nchi Kolombia chini ya Simon Bolivar.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 21 Januari - John Breckinridge, Kaimu Rais wa Marekani (1857-1861)
- 11 Novemba - Fyodor Dostoyevski, mwandishi Mrusi
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 4 Januari - Elizabeth Ann Seton, mtakatifu na mwanzilishi wa shirika la kwanza la kitawa huko Marekani
- 5 Mei - Napoleon Bonaparte, Mfalme wa Ufaransa
- 3 Juni - Egwale Seyon, Mfalme Mkuu wa Uhabeshi
Wikimedia Commons ina media kuhusu: