Nenda kwa yaliyomo

Francisco de Goya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 06:52, 20 Mei 2012 na Luckas-bot (majadiliano | michango) (r2.7.1) (Roboti: Imeongeza yi:פראנסיסקא גאיא)
Mei tatu 1808: Mauaji ya Watetezi wa Madrid, 1814, 266 х 345 cm. Museo del Prado, Madrid.

Francisco de Goya y Lucentes (30 Machi 1746 - 30 Aprili 1828) alikuwa mchoraji nchini Hispania. Aliweza kuchora kwa mitindo mbalimbali akisifiwa kwa kuwa kati ya wachoraji wakubwa wa mtindo wa kale lakini pia kuwako kati ya wachoraji wa kwanza wa wakati wa kisasa.

Mifano ya taswira zake

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Francisco de Goya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA