Nenda kwa yaliyomo

Charles Glover Barkla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 21:37, 21 Agosti 2008 na SieBot (majadiliano | michango) (roboti Nyongeza: ht:Charles Glover Barkla)
Charles Glover Barkla

Charles Glover Barkla (7 Juni, 187723 Oktoba, 1944) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mionzi ya eksirei na kufanya majaribio nazo. Mwaka wa 1917 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.