Charles Glover Barkla
Mandhari
Charles Glover Barkla (7 Juni 1877 – 23 Oktoba 1944) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mionzi ya eksirei na kufanya majaribio nazo. Mwaka wa 1917 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |