Nenda kwa yaliyomo

Chengdu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 21:42, 29 Desemba 2021 na InternetArchiveBot (majadiliano | michango) (Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.5)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Picha za Chengdu

Chengdu ni jiji kubwa la nne nchini China ikiwa na wakazi wapatao milioni 14 hadi 15.

Ni makao makuu ya jimbo la Sichuan na kitovu muhimu cha uchumi na utamaduni magharibi mwa China.

Chakula chake ni mashuhuri na watu wake hupenda pilipili. Kimataifa ni mashuhuri ikiwa kituo cha utafiti wa panda mkubwa.

Kujisomea

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chengdu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.