Nenda kwa yaliyomo

Jakarta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 18:44, 4 Septemba 2021 na CommonsDelinker (majadiliano | michango) (Removing Jakarta_Pictures-1.jpg, it has been deleted from Commons by Yann because: per c:Commons:Deletion requests/File:Jakarta Pictures-1.jpg.)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)


Jiji la Jakarta
Nchi Indonesia
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 8 792 000
Tovuti:  www.jakarta.go.id/
Ramani ya Indonesia inayoonyesha mahali pa Jakarta

Jakarta (zamani iliitwa Batavia) ni mji mkuu wa Indonesia. Iko kwenye kisiwa cha Java, na mahali pake ni 6, 11, Kusini, na 106, 50, Mashariki. Ukubwa wa eneo lake ni 661.52 km². Idadi ya wakazi wake imekadiriwa kuwa 8,792,000 (mwaka wa 2004).

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jakarta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: