Nenda kwa yaliyomo

Ghuba ya Hammamet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:58, 8 Agosti 2021 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Mahali pa Ghuba ya Hammamet kwenye Bahari Mediteranea

Ghuba ya Hammamet (kwa Kiar. خليج الحمامات khalij al-hammamat) ni hori pana ya Bahari Mediteranea kwenye mwambao wa Tunisia ya kaskazini-mashariki.

Iko upande wa kusini mwa rasi Cap Bon.

Jina limetokana na mji wa Hammamet ambao ni kitovu cha utalii chenye hoteli nyingi.

Miji muhimu kwenye mwambao wa hori hiyo ni pamoja na Sousse, Monastir na Nabeul.

Makala hii kuhusu maeneo ya Tunisia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ghuba ya Hammamet kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.