Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Jamhuri ya Dominika

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:18, 3 Aprili 2021 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Majadiliano:Jamhuri ya Dominika hadi Majadiliano:Jamhuri ya Dominikana: usahihi wa jina)

Jina linatafsiriwa Jamhuri wa Kidominiko, yaani ya Mt. Dominiko, au Dominikana. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:05, 15 Oktoba 2014 (UTC)[jibu]

Kimsingi ni kweli. Jina ni dhambi la siku zangu za kale. Ningependelea Jamhuri ya Dominikana maana ni karibu zaidikwa jina la wenyewe. Unaonaje? Kipala (majadiliano) 17:15, 15 Oktoba 2014 (UTC)[jibu]