Nenda kwa yaliyomo

Thibitisho la kihisabati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:09, 6 Novemba 2019 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'right|thumb|250px|[[Mafunjo P. Oxy. 29, moja kati ya masalia ya zamani zaidi...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Mafunjo P. Oxy. 29, moja kati ya masalia ya zamani zaidi ya kitabu cha Euclid Elements, kilichotumika kwa zaidi ya miaka elfu mbili kufundisha mbinu za kuthibitisha mawazo. Jedwali limo Kitabu II, Hoja ya 5.[1]

Thibitisho la kihisabati ni njia ya kuonyesha kwa hakika kwamba wazo moja la hisabati ni sahihi. Kwa ajili hiyo ni lazima kuthibitisha kwamba hilo wazo ni sahihi daima. Njia za namna hiyo ni mbalimbali na zinatumia hoja, pengine zikianzia mawazo yaliyokwishatibithishwa.

  1. Bill Casselman. "One of the Oldest Extant Diagrams from Euclid". University of British Columbia. Iliwekwa mnamo Septemba 26, 2008.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thibitisho la kihisabati kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.