Victor Lindelof
Mandhari
Victor Lindelof (amezaliwa tarehe 17 Julai 1994) ni mchezaji wa timu ya taifa ya Swedeni na wa klabu ya Manchester United. Hucheza nafasi ya beki wa kati na pia huweza kucheza kama kiungo mkabaji.
Mchezaji huyu alisajiliwa na Man United kutoka Benfica huko nchini Ureno.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Victor Lindelof kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |