Nenda kwa yaliyomo

Kazi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Workers digging Cedar River Pipeline, 1899.jpg|thumb|[[Wachimbaji]] wa [[mfereji]] wa [[maji]] kwenye [[mto Cedar]], [[Washington]] ([[1899]]).]]
[[File:Workers digging Cedar River Pipeline, 1899.jpg|thumb|[[Wachimbaji]] wa [[mfereji]] wa [[maji]] kwenye [[mto Cedar]], [[Washington]] ([[1899]]).]]
[[Picha:Classic view of The Thinker (8437831806).jpg|thumb|Mwanafalsafa kazini<br> <small>(sanamu ya Auguste Rodin, "Le penseur")]]</small>
[[Picha:Classic view of The Thinker (8437831806).jpg|thumb|Mwanafalsafa kazini<br> <small>(sanamu ya [[August Rodin]], "Le penseur")]]</small>
[[File:Lewis Hine Power house mechanic working on steam pump.jpg|thumb|upright|[[Mfanyakazi]] akishughulikia [[mashine]] (picha ya [[Lewis Hine]], [[1920]]).]]
[[File:Lewis Hine Power house mechanic working on steam pump.jpg|thumb|upright|[[Mfanyakazi]] akishughulikia [[mashine]] (picha ya [[Lewis Hine]], [[1920]]).]]
'''Kazi''' ni sehemu muhimu ya [[maisha]] ya [[binadamu]], hivyo ina nafasi kubwa katika [[anthropolojia]], [[falsafa]], [[teolojia]],[[fizikia]] na [[sosholojia]].
'''Kazi''' ni sehemu muhimu ya [[maisha]] ya [[binadamu]], hivyo ina nafasi kubwa katika [[anthropolojia]], [[falsafa]], [[teolojia]],[[fizikia]] na [[sosholojia]].

Pitio la 23:16, 9 Oktoba 2016

Wachimbaji wa mfereji wa maji kwenye mto Cedar, Washington (1899).
Mwanafalsafa kazini
(sanamu ya August Rodin, "Le penseur")
Mfanyakazi akishughulikia mashine (picha ya Lewis Hine, 1920).

Kazi ni sehemu muhimu ya maisha ya binadamu, hivyo ina nafasi kubwa katika anthropolojia, falsafa, teolojia,fizikia na sosholojia.

Inafafanuliwa kama utendaji unatumia nguvu ya akili au ya mwili ili kufikia lengo fulani, ambalo mara nyingi ni faida ya kiuchumi ili kuwa na kuwezesha kuendelea kuishi.

Ni mchango muhimu katika jamii na inayostahili kuheshimiwa na kutuzwa.