Msitu : Tofauti kati ya masahihisho
kuswahilisha kidogo |
|
(Hakuna tofauti)
|
Pitio la 21:50, 27 Juni 2014
Msitu ni mkusanyiko wa uoto asilia unaojumuisha miti ya aina mbalimbali, mimea na manyasi ambayo huweza kuwa fupi au ndefu.
Mara nyingi wanyama mbalimbali wakubwa na wadogo huishi na hutegemea uoto huo kwa kuwatimizia mahitaji yao kwa malazi na chakula.
Hata hivyo maisha ya binadamu hutegemea mazingira yake yanayomzunguka katika kujikimu kwani kupitia misitu mvua hunyesha na hivyo kusababisha ustawi na ongezeko la chakula kwani asilimia kubwa ya watu hutegemea kilimo ili kujipatia mahitaji yao ya kila siku hasa katika nchi za Africa ambazo ziko nyuma sana katika nyanja ya utumiaji wa teknolojia za kisasa kama utumiaji wa zana bora bora za kilimo kama matrekta.
Hivyo katika kutimiza upatikanaji wa chakula kwa wingi ni lazima misitu ilindwe kwa nguvu zote katika ukuaji na ustawi wa jamii.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Msitu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |