Waluo : Tofauti kati ya masahihisho
Mandhari
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ar, br, da, hi, hr, it, ja, lij, nl, no, pl, pt, ru, sh, sv, uk, vec Badiliko: de |
No edit summary |
||
Mstari 22: | Mstari 22: | ||
[[en:Luo (Kenya and Tanzania)]] |
[[en:Luo (Kenya and Tanzania)]] |
||
[[eo:Luoj]] |
[[eo:Luoj]] |
||
[[fr:Luo]] |
[[fr:Luo (peuple)]] |
||
[[hi:लुओ भाषा]] |
[[hi:लुओ भाषा]] |
||
[[hr:Luo]] |
[[hr:Luo]] |
Pitio la 08:32, 7 Julai 2010
Waluo (pia Wajaluo) ni kabila hasa la Kenya. Wako pia Uganda ya msahriki na wachache wanaishi nchini Tanzania katika Mkoa wa Mara. Lugha yao ni Kiluo. Wenyewe hujiita Jaluo na lugha yao Dhulou.
Waluo ni mkusanyiko wa kabila la kinilotiki ambalo lilisafiri kutoka Afrika ya Kaskazini kufuata mto Nile kuja Kusini. Waluo wengi wameenea kandokando ya Ziwa Viktoria kutokana na utamaduni wao wa uvuvi. Kwa Afrika mashariki utawakuta nchini Sudan, Kenya, Uganda na Tanzania.
Waluo mashuhuri
- Gidi Gidi Maji Maji - Waimbaji wa hiphop
- Tom Mboya - mwanasiasa aliyeuawa 1969
- Barack Obama - mwanasiasa na seneta wa Marekani ni mwana wa baba Mluo
- Jaramogi Oginga Odinga - kiongozi wa Waluo wakati wa uhuru, mwanzilishaji wa chama cha KANU na makamu wa rais wa kwanza
- Raila Amolo Odinga - mwana wa Jaramogi na mwanasiasa muhimu wa kitaifa
- Robert Ouko - waziri wa mambo ya nje aliyeuawa 1990
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |