Nenda kwa yaliyomo

N'Djamena : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: kk:Нджамена
 
(marekebisho 13 ya kati na watumizi wengine 9 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 9: Mstari 9:
|subdivision_type2 =
|subdivision_type2 =
|subdivision_name2 =
|subdivision_name2 =
|wakazi_kwa_ujumla =
|wakazi_kwa_ujumla = 1,093,492
|website =
|website =


}}
}}
'''Ndjamena''' ni [[mji mkuu]] pia mji mkubwa kabisa nchini [[Chad]]. Idadi ya wakazi hukadiriwa kuwa kati ya 800,000 na milioni moja.
'''Ndjamena''' ni [[mji mkuu]] pia [[mji]] mkubwa kabisa nchini [[Chad]] ikiwa na wakazi 1,093,492 mnamo [[mwaka]] [[2013]].<ref>[https://www.oecd-ilibrary.org/development/cahiers-de-l-afrique-de-l-ouest_20743556 Cahiers de l'Afrique de l'Ouest Dynamiques de l'Urbanisation Africaine 2020: Africapolis, Une Nouvelle Géographie Urbaine]. OECD. 20 fevereiro 2020</ref>


Ndani ya manisipaa kuna hara au mitaa kumi.
Ndani ya [[Manispaa|manisipaa]] kuna hara au [[Mtaa|mitaa]] kumi.
[[Picha:NDjamena.jpg|thumbnail|350px|Mtaa wa N'Djamena]]
[[Picha:NDjamena.jpg|thumbnail|350px|Mtaa wa N'Djamena]]


== Jina ==
== Jina ==
Zamani mji ulijulikana kwa jina la "Fort Lamy". Tangu 1973 jina limekuwa Ndjamena; kuna pia maandishi: N'Djaména, N'Djamena na Ndjaména.
Zamani mji ulijulikana kwa [[jina]] la "Fort Lamy". Tangu mwaka [[1973]] jina limekuwa Ndjamena, N'Djaména, N'Djamena au Ndjaména.


== Jiografia ==
== Jiografia ==
Mji wa Ndjamena uko mahali ambako [[Mto|mito]] ya [[Chari]] na [[Logone]] inaungana. Ng'ambo ya mto uko mji wa [[Kousseri]] nchini [[Kamerun]].

Mji wa Ndjamena uko mahali ambako mito ya [[Chari]] na [[Logone]] inaungana. Ng'ambo ya mto uko mji wa [[Kousseri]] nchini [[Kamerun]].


== Historia ==
== Historia ==
Ndjamena ilianzishwa na [[Ufaransa|Mfaransa]] [[Émile Gentil]] [[tarehe]] [[29 Mei]] [[1900]] kama kambi ya kijeshi ikiitwa '''Fort-Lamy''' kama [[kumbukumbu]] ya [[kamanda]] [[Amédée-François Lamy]] aliyeuawa [[vita|vitani]] kwenye mapigano ya Kousseri siku chache kabla ya kuanzishwa kwa Fort Lamy<ref>Roman Adrian Cybriwsky, ''Capital Cities around the World: An Encyclopedia of Geography, History, and Culture'', ABC-CLIO, USA, 2013, p. 208</ref><ref name="inpictures">{{cite book|url=https://books.google.com/books?id=kkB1GaR2SXEC&pg=PT19|title=Chad in Pictures|last=Zurocha-Walske|first=Christine|publisher=Twenty-First Century Books|year=2009|isbn=978-1-57505-956-3|page=17|access-date=2015-11-15|archive-url=https://web.archive.org/web/20160430061439/https://books.google.com/books?id=kkB1GaR2SXEC&pg=PT19|archive-date=2016-04-30|url-status=live}}</ref> .


Jina lilibadilishwa na rais [[François Tombalbaye]] kuwa Ndjamena mwaka 1973. Wakati wa [[vita ya wenyewe kwa wenyewe]] ya Chad 1979 / 1980 mji uliharibika na wakazi wengi waliondoka mjini lakini katika miaka ya baadaye wengine wengi waliingia.<ref>Samuel Decalo, ''Historical Dictionary of Chad'', Scarecrow, 1987, pp. 229–230</ref>
'''Ndjamena''' ilianzishwa na Mfaransa [[Émile Gentil]] tarehe 29 Mai 1900 kama kambi ya kijeshi ikiitwa '''Fort-Lamy''' kama kumbukumbu kwa kamanda [[Amédée-François Lamy]] aliyeuawa vitani kwenye mapigano ya Kousseri siku chache kabla ya kuanzishwa kwa Fort Lamy.

Jina lilibadilishwa kuwa Ndjamena mwaka 1973 na rais [[François Tombalbaye]].

Mji uliona uharibifu mwingi wakati wa vita ya wenyewe kwa wenyewe makwa 1979/1980. Wakti ule wakazi wengi waliondoka mjini lakini katika miaka ya baadaye wengi wengine waliingia.


== Wakazi ==
== Wakazi ==
Mji ulikua sana na haraka. Huduma za [[maji]], [[umeme]] na makao havitoshi tena.

Mji ulikua sana na haraka. Vifaa vya maji, umeme na makao havitoshi tena.


'''<small>Mwaka * Idadi ya Wakazi</small>'''
'''<small>Mwaka * Idadi ya Wakazi</small>'''
Mstari 45: Mstari 40:
* [[2005]] : 721 000
* [[2005]] : 721 000


'''Makabila na vikundimjini mwaka 1993''' :<br />
'''Makabila na vikundi mjini mwaka 1993''':<br />
* [[Waarabu wa Chad]] : 11,08 %
* [[Waarabu wa Chad]] : 11,08 %
* Ngambay : 16,41 %
* Ngambay : 16,41 %
Mstari 60: Mstari 55:


== Uchumi ==
== Uchumi ==
Ndjamena ni [[kitovu]] cha [[uchumi]] wa Chad.

Ndjamena ni kitovu cha uchumi wa Chadi.


== Elimu ==
== Elimu ==
Ndjamena ina [[Chuo|vyuo]] na [[shule]] mbalimbali kama vile.


'''Shule za [[Elimu ya sekondari|Sekondari]] (Lycée) :'''
Ndjamena ina vyuo na shule mbalimbali.


'''Shule za Sekondari (Lycée) :'''


* Lycée [[Félix Éboué]] (ya serikali)
* Lycée [[Félix Éboué]] (ya serikali)
Mstari 85: Mstari 77:
* Lycée de la Gendarmerie, etc.
* Lycée de la Gendarmerie, etc.


'''Vyuo Vikuu (Université) :'''
'''[[Chuo Kikuu|Vyuo Vikuu]] (Université) :'''


* [[Université de Ndjamena]] (ya serikali)
* [[Université de Ndjamena]] (ya serikali)
Mstari 91: Mstari 83:
* Université Roi Fayçal (binafsi - kiislamu)
* Université Roi Fayçal (binafsi - kiislamu)


'''Taasisi za elimu ya juu (École Supérieure) :'''
'''Taasisi za [[elimu ya juu]] (École Supérieure) :'''


* ISSED - Institut Supérieur des Sciences de l'Éducation
* ISSED - Institut Supérieur des Sciences de l'Éducation
* ENAM - (Ecole Nationale d'Administration et de Magistrature)
* ENAM - École Nationale d'Administration et de Magistrature
* EIE - Ecole Superieure d'Electronique et d'Informatique
* EIE - École Supérieure d'Électronique et d'Informatique
* ENASS - Ecole Nationale des Sciences Infirmieres et Sociales
* ENASS - École Nationale des Sciences Infirmières et Sociales
* INJS - Institut Superieur de la Jeunesse et des Sports
* INJS - Institut Supérieur de la Jeunesse et des Sports
* ENS - Ecole Normale Superieur
* ENS - École Normale Supérieure
* ENTP - Ecole Nationale des Travaux Publics
* ENTP - École Nationale des Travaux Publics
* ISTAP - Institut Superieur des Techniques Appliquees
* ISTAP - Institut Supérieur des Techniques Appliquées


== Marejeo ==
{{Marejeo}}


=== Viungo vya Nje ===
== Viungo vya Nje ==

* [http://maps.google.com/maps?ll=12.117040,15.075817&spn=0.078044,0.123081&z=4&t=k&hl=fr Image satellite Google Maps]
* [http://maps.google.com/maps?ll=12.117040,15.075817&spn=0.078044,0.123081&z=4&t=k&hl=fr Image satellite Google Maps]

[[Jamii:Miji Mikuu Afrika]]
[[Jamii:Miji Mikuu Afrika]]
[[Jamii:Chad]]
[[Jamii:Chad]]
[[Jamii:Miji ya Chad]]
[[Jamii:Miji ya Chad]]
[[Jamii:N'Djamena| ]]
[[Jamii:N'Djamena| ]]

[[af:N'Djamena]]
[[am:ንጃመና]]
[[ar:إنجامينا]]
[[be:Горад Нджамена]]
[[be-x-old:Нджамэна]]
[[bg:Нджамена]]
[[bo:ཇ་མི་ན།]]
[[br:Ndjamena]]
[[bs:N'Djamena]]
[[ca:N'Djamena]]
[[ckb:نجامێنا]]
[[cs:N'Djamena]]
[[cy:N'Djamena]]
[[da:N'Djamena]]
[[de:N’Djamena]]
[[el:Ντζαμένα]]
[[en:N'Djamena]]
[[eo:Nĵameno]]
[[es:Yamena]]
[[et:N'Djamena]]
[[eu:N'Djamena]]
[[fa:انجامنا]]
[[fi:N'Djamena]]
[[fr:Ndjamena]]
[[frp:N’Dj·amèna]]
[[fy:N'Djamena]]
[[gd:N'Djamena]]
[[gl:Xamena]]
[[he:נג'מנה]]
[[hif:N'Djamena]]
[[hr:N'Djamena]]
[[ht:N'Djamèna]]
[[hu:N’Djamena]]
[[hy:Նջամենա]]
[[id:N'Djamena]]
[[ie:N'Djamena]]
[[io:N'Djamena]]
[[is:N'Djamena]]
[[it:N'Djamena]]
[[ja:ンジャメナ]]
[[jv:N'Djamena]]
[[ka:ნჯამენა]]
[[kg:Ndjamena]]
[[kk:Нджамена]]
[[ko:은자메나]]
[[ku:N'Djamena]]
[[kw:N'Djamena]]
[[ky:Нжамена]]
[[la:Ndjamena]]
[[lb:N'Djamena]]
[[lij:N'Djamena]]
[[lmo:N'Djamena]]
[[ln:N’Djamena]]
[[lt:Ndžamena]]
[[lv:Ndžamena]]
[[mk:Нџамена]]
[[mr:इंजामिना]]
[[mrj:Нджамена]]
[[ms:N'Djamena]]
[[nah:Niyāmīnā]]
[[nl:Ndjamena]]
[[no:N'Djamena]]
[[nov:N'Djamena]]
[[oc:N'Djamena]]
[[pl:Ndżamena]]
[[pms:N'Djamena]]
[[pnb:نجامينا]]
[[pt:N'Djamena]]
[[ro:N'Djamena]]
[[roa-rup:N'Djamena]]
[[ru:Нджамена]]
[[scn:N'Djamena]]
[[sco:N'Djamena]]
[[simple:N'Djamena]]
[[sk:N’Djamena]]
[[so:Nijamiina]]
[[sr:Нџамена]]
[[sv:N'Djamena]]
[[tg:Нҷамена]]
[[th:เอ็นจาเมนา]]
[[tl:NDjamena]]
[[tr:N'Djamena]]
[[udm:Нджамена]]
[[uk:Нджамена]]
[[vec:N'Djamena]]
[[vi:N'Djamena]]
[[war:N'Djamena]]
[[wo:Njamena]]
[[yo:N'Djamena]]
[[zh:恩賈梅納]]

Toleo la sasa la 07:06, 13 Agosti 2023

Jiji la N'Djamena
Nchi Chad
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,093,492

Ndjamena ni mji mkuu pia mji mkubwa kabisa nchini Chad ikiwa na wakazi 1,093,492 mnamo mwaka 2013.[1]

Ndani ya manisipaa kuna hara au mitaa kumi.

Mtaa wa N'Djamena

Zamani mji ulijulikana kwa jina la "Fort Lamy". Tangu mwaka 1973 jina limekuwa Ndjamena, N'Djaména, N'Djamena au Ndjaména.

Jiografia

[hariri | hariri chanzo]

Mji wa Ndjamena uko mahali ambako mito ya Chari na Logone inaungana. Ng'ambo ya mto uko mji wa Kousseri nchini Kamerun.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Ndjamena ilianzishwa na Mfaransa Émile Gentil tarehe 29 Mei 1900 kama kambi ya kijeshi ikiitwa Fort-Lamy kama kumbukumbu ya kamanda Amédée-François Lamy aliyeuawa vitani kwenye mapigano ya Kousseri siku chache kabla ya kuanzishwa kwa Fort Lamy[2][3] .

Jina lilibadilishwa na rais François Tombalbaye kuwa Ndjamena mwaka 1973. Wakati wa vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Chad 1979 / 1980 mji uliharibika na wakazi wengi waliondoka mjini lakini katika miaka ya baadaye wengine wengi waliingia.[4]

Mji ulikua sana na haraka. Huduma za maji, umeme na makao havitoshi tena.

Mwaka * Idadi ya Wakazi

Makabila na vikundi mjini mwaka 1993:

  • Waarabu wa Chad : 11,08 %
  • Ngambay : 16,41 %
  • Hadjeray : 9,15 %
  • Daza : 6,97 %
  • Bilala : 5,83 %
  • Kanembou : 5,80 %
  • Maba : 4,84 %
  • Kanouri : 4,39 %
  • Gor : 3,32 %
  • Kouka : 3,20 %
  • Sar : 2,24 %
  • Barma : 2,10 %

Ndjamena ni kitovu cha uchumi wa Chad.

Ndjamena ina vyuo na shule mbalimbali kama vile.

Shule za Sekondari (Lycée) :

  • Lycée Félix Éboué (ya serikali)
  • Lycée technique commercial (ya seriali)
  • Lycée du Sacré-Cœur (binafsi - kikatoliki)
  • Lycée-Collège évangélique (binafsi kiprotestant)
  • Lycée Ibnou - Cinna (Kifaransa - Kiarabu)
  • Lycée Roi Faycal (Kiarabu)
  • Lycée Koweitien (Kiarabu)
  • Lycée d'Amérigue (ya serikali)
  • Lycée de Farcha (ya serikali)
  • Lycée Technique Industrielle
  • Lycée du Pont de Chagoua
  • Lycée de Waliya
  • Lycée de La Liberté
  • Lycée de la Gendarmerie, etc.

Vyuo Vikuu (Université) :

créée en 1970
  • Université Roi Fayçal (binafsi - kiislamu)

Taasisi za elimu ya juu (École Supérieure) :

  • ISSED - Institut Supérieur des Sciences de l'Éducation
  • ENAM - École Nationale d'Administration et de Magistrature
  • EIE - École Supérieure d'Électronique et d'Informatique
  • ENASS - École Nationale des Sciences Infirmières et Sociales
  • INJS - Institut Supérieur de la Jeunesse et des Sports
  • ENS - École Normale Supérieure
  • ENTP - École Nationale des Travaux Publics
  • ISTAP - Institut Supérieur des Techniques Appliquées
  1. Cahiers de l'Afrique de l'Ouest Dynamiques de l'Urbanisation Africaine 2020: Africapolis, Une Nouvelle Géographie Urbaine. OECD. 20 fevereiro 2020
  2. Roman Adrian Cybriwsky, Capital Cities around the World: An Encyclopedia of Geography, History, and Culture, ABC-CLIO, USA, 2013, p. 208
  3. Zurocha-Walske, Christine (2009). Chad in Pictures. Twenty-First Century Books. uk. 17. ISBN 978-1-57505-956-3. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-04-30. Iliwekwa mnamo 2015-11-15.
  4. Samuel Decalo, Historical Dictionary of Chad, Scarecrow, 1987, pp. 229–230

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]