Nenda kwa yaliyomo

Victor Lindelof : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu
 
(Sahihisho moja la kati na mtumizi mwingine na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Manchester United v Manchester City, 10 December 2017 (22).jpg|alt=Victor Lindelof|thumb|Victor Lindelofakiwa na [[timu]] ya [[Man United]].]]
[[Picha:Manchester United v Manchester City, 10 December 2017 (22).jpg|alt=Victor Lindelof|thumb|Victor Lindelofakiwa na [[timu]] ya [[Man United]] (2017).]]
'''Victor Lindelof''' (amezaliwa [[tarehe]] [[17 Julai]] [[1994]]) ni [[mchezaji]] wa [[timu ya taifa]] ya [[Uswidi]] na wa [[klabu]] ya [[Uingereza]] iitwayo [[Manchester United]]. Hucheza [[nafasi]] ya [[beki wa kati]] na pia huweza [[kucheza]] kama [[kiungo mkabaji]].
'''Victor Lindelof''' (amezaliwa [[17 Julai]] [[1994]]) ni [[mchezaji]] wa [[timu ya taifa]] ya [[Uswidi]] na wa [[klabu]] ya [[Uingereza]] iitwayo [[Manchester United]]. Hucheza [[nafasi]] ya [[beki wa kati]] na pia huweza [[kucheza]] kama [[kiungo mkabaji]].


[[Mchezaji]] huyu alisajiliwa na [[Manchester United]] kutoka [[Benfica]] huko nchini [[Ureno]].
[[Mchezaji]] huyu alisajiliwa na [[Manchester United]] kutoka [[Benfica]] huko nchini [[Ureno]].
Mstari 7: Mstari 7:


Baada ya kucheza katika timu yake ya kwanza mnamo Septemba [[2013]], aliendelea kuonekana katika [[klabu]] ya ngazi B, wakati pia kushinda mataji matatu ya Primeira Liga. Alijiunga na Manchester United mwezi Julai [[2017]].
Baada ya kucheza katika timu yake ya kwanza mnamo Septemba [[2013]], aliendelea kuonekana katika [[klabu]] ya ngazi B, wakati pia kushinda mataji matatu ya Primeira Liga. Alijiunga na Manchester United mwezi Julai [[2017]].

{{mbegu-cheza-mpira}}
{{mbegu-cheza-mpira}}
{{BD|1994|}}
{{BD|1994|}}
[[Jamii:Wachezaji mpira wa Uswidi]]
[[Jamii:Wachezaji mpira wa Uswidi]]
[[Jamii:Wachezaji mpira wa Manchester United]]
[[Jamii:Wachezaji wa Manchester United FC]]

Toleo la sasa la 06:39, 22 Agosti 2024

Victor Lindelof
Victor Lindelofakiwa na timu ya Man United (2017).

Victor Lindelof (amezaliwa 17 Julai 1994) ni mchezaji wa timu ya taifa ya Uswidi na wa klabu ya Uingereza iitwayo Manchester United. Hucheza nafasi ya beki wa kati na pia huweza kucheza kama kiungo mkabaji.

Mchezaji huyu alisajiliwa na Manchester United kutoka Benfica huko nchini Ureno.

Lindelöf alianza kazi yake nchini Sweden katika klabu ya Västerås SK, akicheza mechi zake za kwanza Septemba 2010. Desemba 2011, alikubali kuhamia katika klabu ya Benfica nchini Ureno.

Baada ya kucheza katika timu yake ya kwanza mnamo Septemba 2013, aliendelea kuonekana katika klabu ya ngazi B, wakati pia kushinda mataji matatu ya Primeira Liga. Alijiunga na Manchester United mwezi Julai 2017.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Victor Lindelof kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.