Nenda kwa yaliyomo

Max Weber : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: an:Max Weber
 
(marekebisho 40 ya kati na watumizi wengine 26 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Max Weber 1894.jpg|thumb|200px|Max Weber mnamo 1894]]
[[Picha:Max Weber 1894.jpg|thumb|200px|Max Weber mnamo [[1894]].]]
'''Maximilian Carl Emil Weber''' ([[21 Aprili]] [[1864]] – [[14 Juni]] [[1920]]) alikuwa mwanasheria na mtaalamu wa siasa na [[sayansi ya jamii]] nchini [[Ujerumani]].
'''Maximilian Carl Emil Weber''' ([[21 Aprili]] [[1864]] – [[14 Juni]] [[1920]]) alikuwa [[mwanasheria]] na [[mtaalamu]] wa [[siasa]] na [[sayansi ya jamii]] nchini [[Ujerumani]].


== Maisha ==
== Maisha ==
Alisoma sheria, uchumi, falsafa na historia kwenye vyuo vikuu vya Heidelberg, Berlin na Göttingen. Mwaka 1889 alichukua cheo cha dokta wa sheria kwenye chuo kikuu cha Berlin. Akaendelea kuwa profesa wa uchumi huko Freiburg na tangu 1897 kwenye chuo kikuu cha Heidelberg. 1889 aliondoka kwenye chuo kikuu kutokana na ugonjwa akaendelea kuhariri gazeti la sosiolojia na kuandika vitabu.
Alisoma [[sheria]], [[uchumi]], [[falsafa]] na [[historia]] kwenye vyuo vikuu vya [[Heidelberg]], [[Berlin]] na [[Göttingen]].


Mwaka [[1889]] alichukua [[cheo]] cha [[dokta]] wa sheria kwenye [[chuo kikuu]] cha Berlin.
Baada ya [[vita kuu ya kwanza ya dunia]] alikuwa mshauri wa serikali ya Ujerumani kwenye majadiliano kwa [[mkataba wa Versailles]] na ndani ya Ujerumani alikuwa kati ya waanzilishaji wa chama huria cha demokrasia. 1919 alianza kufundisha tena kwenye chuo kikuu lakini 1920 alikufa.


Akaendelea kuwa [[profesa]] wa uchumi huko [[Freiburg]] na tangu mwaka [[1897]] kwenye [[Chuo Kikuu cha Heidelberg|chuo kikuu cha Heidelberg]].
== Kazi ==
Weber aliandika mengi kuhusu uchumi, utawala, siasa na dini. Kati ya maandiko yaliyokuwa mashuhuri hasa ni "Maadili ya kiprotestanti na roho ya ubepari" (Die protestantische Ethik und der 'Geist' des Kapitalismus). Hapa alitoa hoja ya kuwa roho ya uprotestanti ilisababisha wafuasi wake kubana matumizi ya fedha kwa maisha tajiri na kuridhika maisha ya wastani hata kama wamefaulu kiuchumi. Maadili haya yaliwawezesha kukusanya rasilmali iliyokuwa msingi muhimu kwa [[mapinduzi ya viwandani]].


Mwaka [[1889]] aliondoka kwenye chuo kikuu kutokana na [[ugonjwa]], akaendelea kuhariri [[gazeti]] la [[sosholojia]] na kuandika [[Kitabu|vitabu]].


Baada ya [[vita kuu ya kwanza ya dunia]] alikuwa mshauri wa [[serikali]] ya Ujerumani kwenye [[majadiliano]] kwa ajili ya [[mkataba wa Versailles]] na ndani ya Ujerumani alikuwa kati ya waanzilishi wa [[chama]] huria cha [[demokrasia]].
== Viungo vya Nje ==

Maandiko ya Weber:
Mwaka [[1919]] alianza kufundisha tena kwenye chuo kikuu lakini mwaka [[1920]] alifariki [[dunia]].

== Maandishi ==
Weber aliandika mengi kuhusu uchumi, [[utawala]], siasa na [[dini]].

Kati ya maandiko yaliyokuwa mashuhuri hasa ni "[[Maadili]] ya Kiprotestanti na [[roho]] ya [[ubepari]]" (Die protestantische Ethik und der 'Geist' des Kapitalismus). Humo alitoa [[hoja]] ya kuwa [[Uprotestanti]], hasa kadiri ya [[Yohane Kalvini]], ulisababisha wafuasi wake kubana matumizi ya [[fedha]] kwa maisha tajiri na kuridhika maisha ya wastani hata kama wamefaulu kiuchumi. Maadili hayo yaliwawezesha kukusanya [[rasilimali]] iliyokuwa msingi muhimu kwa [[mapinduzi ya viwandani]].

Pia [[imani]] ya kutisha katika [[uteule]], iliyodai [[utajiri]] ni [[baraka]] ya [[Mungu]] unaoashiria kuwa mhusika ataokoka [[milele]], iliwafanya waamini hao wajitahidi kupata mali ili wajisikie salama mbele ya [[hukumu ya mwisho]].

Kwake ndiyo mambo yaliyochangia kuhamishia Kaskazini mwa [[Ulaya]] (ulikoenea Uprotestanti) [[usukani]] wa uchumi kutoka nchi za Kusini zilizobaki katika [[Kanisa Katoliki]].

== Viungo vya nje ==
===Maandishi ya Weber===
* [http://www.zeno.org/Soziologie/M/Weber,%20Max Maandiko yake kwa Kijerumani]
* [http://www.zeno.org/Soziologie/M/Weber,%20Max Maandiko yake kwa Kijerumani]
* [http://www.uni-potsdam.de/u/paed/Flitner/Flitner/Weber/index.htm Maandiko yake kwa Kijerumani]
* [http://www.uni-potsdam.de/u/paed/Flitner/Flitner/Weber/index.htm Maandiko yake kwa Kijerumani] {{Wayback|url=http://www.uni-potsdam.de/u/paed/Flitner/Flitner/Weber/index.htm |date=20020207003432 }}
* [http://www.ne.jp/asahi/moriyuki/abukuma/weber_texts.html Large collection of English translations]
* [http://www.ne.jp/asahi/moriyuki/abukuma/weber_texts.html Mkusanyo mkubwa wa tafsiri za Kiingereza] {{Wayback|url=http://www.ne.jp/asahi/moriyuki/abukuma/weber_texts.html |date=20070125180907 }}
* [http://www.cpm.ehime-u.ac.jp/AkamacHomePage/Akamac_E-text_Links/Weber.html Another collection of English translations]
* [http://www.cpm.ehime-u.ac.jp/AkamacHomePage/Akamac_E-text_Links/Weber.html Mkusanyo mwingine wa tafsiri za Kiingereza] {{Wayback|url=http://www.cpm.ehime-u.ac.jp/AkamacHomePage/Akamac_E-text_Links/Weber.html |date=20041119141710 }}
* [http://www.sociosite.net/topics/weber.php A comprehensive collection of English translations and secondary literature]
* [http://www.sociosite.net/topics/weber.php Mkusanyo mwingine mkubwa wa tafsiri za Kiingereza] {{Wayback|url=http://www.sociosite.net/topics/weber.php |date=20060630121301 }}
* [http://ssr1.uchicago.edu/PRELIMS/Theory/weber.html English translations of many of Weber's works, merged into one very long unformatted file]
* [http://ssr1.uchicago.edu/PRELIMS/Theory/weber.html English translations of many of Weber's works, merged into one very long unformatted file] {{Wayback|url=http://ssr1.uchicago.edu/PRELIMS/Theory/weber.html |date=20040210101459 }}
* [http://www.marxists.org/reference/archive/weber/index.htm Max Weber Reference Archive]
* [http://www.marxists.org/reference/archive/weber/index.htm Max Weber Reference Archive]


Kuhusu Weber:
===Kuhusu Weber===
* [http://cepa.newschool.edu/het/profiles/weber.htm Biography entry and link section]
* [http://cepa.newschool.edu/het/profiles/weber.htm Biography entry and link section] {{Wayback|url=http://cepa.newschool.edu/het/profiles/weber.htm |date=20061206002953 }}
* [http://www.ualr.edu/jdrobson/idealtype.htm Weber on Ideal Types]
* [http://www.ualr.edu/jdrobson/idealtype.htm Weber on Ideal Types] {{Wayback|url=http://www.ualr.edu/jdrobson/idealtype.htm |date=20070227135120 }}
* [http://media.pfeiffer.edu/lridener/DSS/Weber/WEBRPER.HTML Max Weber – The person]
* [http://media.pfeiffer.edu/lridener/DSS/Weber/WEBRPER.HTML Max Weber – The person] {{Wayback|url=http://media.pfeiffer.edu/lridener/DSS/Weber/WEBRPER.HTML |date=20111111052626 }}
* [http://media.pfeiffer.edu/lridener/DSS/Weber/WEBERW3.HTML More of Weber on Ideal Types]
* [http://media.pfeiffer.edu/lridener/DSS/Weber/WEBERW3.HTML More of Weber on Ideal Types] {{Wayback|url=http://media.pfeiffer.edu/lridener/DSS/Weber/WEBERW3.HTML |date=20111111061817 }}
* [http://www.criticism.com/md/weber1.html An essay on Max Weber's View of Objectivity in Social Science]
* [http://www.criticism.com/md/weber1.html An essay on Max Weber's View of Objectivity in Social Science]
* [http://www.humanities.mq.edu.au/Ockham/y64l10.html Max Weber: On Capitalism As above, but on capitalism]
* [http://www.humanities.mq.edu.au/Ockham/y64l10.html Max Weber: On Capitalism As above, but on capitalism] {{Wayback|url=http://www.humanities.mq.edu.au/Ockham/y64l10.html |date=20120521004510 }}
* [http://socserv2.mcmaster.ca/soc/courses/soc2r3/weber/weberidx.htm Some of Weber concepts in the form of a list]
* [http://socserv2.mcmaster.ca/soc/courses/soc2r3/weber/weberidx.htm Some of Weber concepts in the form of a list] {{Wayback|url=http://socserv2.mcmaster.ca/soc/courses/soc2r3/weber/weberidx.htm |date=20060909161957 }}
* [http://www.faculty.rsu.edu/~felwell/Theorists/Weber/Whome.htm Max Weber's HomePage "A site for undergraduates"]
* [http://www.faculty.rsu.edu/~felwell/Theorists/Weber/Whome.htm Max Weber's HomePage "A site for undergraduates"] {{Wayback|url=http://www.faculty.rsu.edu/~felwell/Theorists/Weber/Whome.htm |date=20110307133502 }}
* [http://mises.org/journals/jls/18_1/18_1_1.pdf Mises versus Weber on Bureaucracy and Sociological Method] by William P. Anderson
* [http://mises.org/journals/jls/18_1/18_1_1.pdf Mises versus Weber on Bureaucracy and Sociological Method] by William P. Anderson
{{mbegu-mwanasayansi}}
* [http://www.econ.nyu.edu/cvstarr/seminars/callahan.pdf Reconciling Weber and Mises on Understanding Human Action] by Gene Callahan

{{BD|1864|1920|Weber, Max}}
{{BD|1864|1920|Weber, Max}}
{{Link FA|en}}
{{Link FA|fr}}
{{Link FA|vi}}

[[Jamii:Wanafalsafa]]
[[Jamii:Sosiolojia]]
[[Jamii:Wanasayansi wa Ujerumani]]
[[Jamii:Wanasayansi wa Ujerumani]]
[[Jamii:Wanafalsafa wa Ujerumani]]

[[Jamii:Wanahistoria wa Ujerumani]]
[[af:Max Weber]]
[[Jamii:Wanauchumi wa Ujerumani]]
[[an:Max Weber]]
[[ar:ماكس فيبر]]
[[Jamii:Elimu jamii]]
[[ast:Max Weber]]
[[bat-smg:Max Weber]]
[[be:Максімільян Карл Эміль Вебер]]
[[be-x-old:Макс Вэбэр]]
[[bg:Макс Вебер]]
[[br:Max Weber]]
[[bs:Max Weber]]
[[ca:Max Weber]]
[[cs:Max Weber]]
[[cy:Max Weber]]
[[da:Max Weber]]
[[de:Max Weber]]
[[diq:Max Weber]]
[[el:Μαξ Βέμπερ]]
[[en:Max Weber]]
[[eo:Maximiliam Weber]]
[[es:Max Weber]]
[[et:Max Weber]]
[[eu:Max Weber]]
[[fa:ماکس وبر]]
[[fi:Max Weber]]
[[fr:Max Weber]]
[[gan:韋伯]]
[[gl:Max Weber]]
[[he:מקס ובר]]
[[hif:Max Weber]]
[[hr:Max Weber]]
[[hu:Max Weber]]
[[id:Max Weber]]
[[io:Max Weber]]
[[is:Max Weber]]
[[it:Max Weber]]
[[ja:マックス・ヴェーバー]]
[[kk:Вебер, Макс]]
[[ko:막스 베버]]
[[ku:Max Weber]]
[[la:Maximilianus Weber]]
[[lb:Max Weber]]
[[lt:Max Weber]]
[[lv:Makss Vēbers]]
[[ml:മാക്സ് വെബര്‍]]
[[nl:Max Weber (socioloog)]]
[[nn:Max Weber]]
[[no:Max Weber]]
[[nov:Max Weber]]
[[oc:Max Weber]]
[[pl:Max Weber]]
[[pt:Max Weber]]
[[ro:Max Weber]]
[[ru:Вебер, Макс]]
[[scn:Max Weber]]
[[simple:Max Weber]]
[[sk:Max Weber]]
[[sl:Max Weber]]
[[sq:Max Weber]]
[[sv:Max Weber]]
[[ta:மக்ஸ் வெபர்]]
[[th:มักซ์ เวเบอร์]]
[[tr:Max Weber]]
[[uk:Макс Вебер]]
[[vec:Max Weber]]
[[vi:Max Weber]]
[[war:Max Weber]]
[[yo:Maks Wẹ́bẹ̀r]]
[[zh:马克斯·韦伯]]
[[zh-yue:韋伯]]

Toleo la sasa la 14:37, 28 Mei 2024

Max Weber mnamo 1894.

Maximilian Carl Emil Weber (21 Aprili 186414 Juni 1920) alikuwa mwanasheria na mtaalamu wa siasa na sayansi ya jamii nchini Ujerumani.

Alisoma sheria, uchumi, falsafa na historia kwenye vyuo vikuu vya Heidelberg, Berlin na Göttingen.

Mwaka 1889 alichukua cheo cha dokta wa sheria kwenye chuo kikuu cha Berlin.

Akaendelea kuwa profesa wa uchumi huko Freiburg na tangu mwaka 1897 kwenye chuo kikuu cha Heidelberg.

Mwaka 1889 aliondoka kwenye chuo kikuu kutokana na ugonjwa, akaendelea kuhariri gazeti la sosholojia na kuandika vitabu.

Baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia alikuwa mshauri wa serikali ya Ujerumani kwenye majadiliano kwa ajili ya mkataba wa Versailles na ndani ya Ujerumani alikuwa kati ya waanzilishi wa chama huria cha demokrasia.

Mwaka 1919 alianza kufundisha tena kwenye chuo kikuu lakini mwaka 1920 alifariki dunia.

Maandishi

[hariri | hariri chanzo]

Weber aliandika mengi kuhusu uchumi, utawala, siasa na dini.

Kati ya maandiko yaliyokuwa mashuhuri hasa ni "Maadili ya Kiprotestanti na roho ya ubepari" (Die protestantische Ethik und der 'Geist' des Kapitalismus). Humo alitoa hoja ya kuwa Uprotestanti, hasa kadiri ya Yohane Kalvini, ulisababisha wafuasi wake kubana matumizi ya fedha kwa maisha tajiri na kuridhika maisha ya wastani hata kama wamefaulu kiuchumi. Maadili hayo yaliwawezesha kukusanya rasilimali iliyokuwa msingi muhimu kwa mapinduzi ya viwandani.

Pia imani ya kutisha katika uteule, iliyodai utajiri ni baraka ya Mungu unaoashiria kuwa mhusika ataokoka milele, iliwafanya waamini hao wajitahidi kupata mali ili wajisikie salama mbele ya hukumu ya mwisho.

Kwake ndiyo mambo yaliyochangia kuhamishia Kaskazini mwa Ulaya (ulikoenea Uprotestanti) usukani wa uchumi kutoka nchi za Kusini zilizobaki katika Kanisa Katoliki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Maandishi ya Weber

[hariri | hariri chanzo]

Kuhusu Weber

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Max Weber kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.