Nenda kwa yaliyomo

Amri Kumi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: diq:Des Emıri
No edit summary
 
(marekebisho 25 ya kati na watumizi wengine 15 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:10 Gebote (Lucas Cranach d A).jpg|thumb|350px|Amri 10 - taswira ya [[Lucas Cranach Mzee]]]]
[[Picha:10 Gebote (Lucas Cranach d A).jpg|thumb|350px|Amri 10 - taswira ya [[Lucas Cranach Mzee]].]]
'''Amri Kumi''' ni orodha za amri kuu za kidini katika [[Biblia]].
'''Amri Kumi''' ni orodha ya [[amri]] kuu za [[Mungu]] katika [[Biblia]]. Za kwanza zinamhusu Mwenyezi Mungu mwenyewe, na zile zinazofuata mpaka mwisho zinahusu jirani, yaani [[binadamu]] wengine kuanzia [[wazazi]].


Toleo la awali linapatikana katika kitabu cha [[Kutoka (Biblia)|Kutoka]] 20:1-17. Toleo la pili liko katika [[Kumbukumbu la Torati]] 5:1-21.
Toleo la awali linapatikana katika [[kitabu]] cha [[Kutoka (Biblia)|Kutoka]] 20:1-17. Toleo la pili liko katika [[Kumbukumbu la Torati]] 5:1-21.
Amri hizi ni sehemu ya [[Torati]] ya [[Uyahudi|Kiyahudi]] na kukubaliwa pia na [[Ukristo|Wakristo]] walio wengi kama amri zinazowahusu pia wao, tena kimsingi zinadai watu wote. Hata hivyo wafuasi wa [[Yesu Kristo]] wanazishika kadiri ya utimilifu wake ulioletwa kama [[Agano Jipya]]. Mifano ni mafundisho ya [[Yesu]] katika [[Injili ya Mathayo]] 5:17-48.
Amri hizi ni sehemu ya [[Torati]] ya [[Uyahudi|Kiyahudi]] na kukubaliwa pia na [[Ukristo|Wakristo]] walio wengi kama amri zinazowahusu wao pia, tena wanaziona kuwa kimsingi zinawadai [[watu]] wote.
Hata hivyo [[wafuasi]] wa [[Yesu Kristo]] wanazishika kadiri ya utimilifu wake ulioletwa naye kama [[Agano Jipya]]. Mifano ya ukamilisho huo ni mafundisho ya [[Yesu]] katika [[Injili ya Mathayo]] 5:17-48.


== Maneno ya Amri Kumi ==
== Maneno ya Amri Kumi ==
Maneno yanayojulikana kama “Amri Kumi” yanapatikana katika vitabu vya Biblia Kutoka na Kumbukumbu la Torati.
Maneno yanayojulikana kama “Amri Kumi” yanapatikana katika vitabu vya Biblia "[[Kutoka (Biblia)|Kutoka]]" na "[[Kumbukumbu la Sheria|Kumbukumbu la Torati]]".
{| class="wikitable"
{| class="wikitable"
!'''Kitabu cha Kutoka 20:2–17'''
!'''Kitabu cha Kutoka 20:2–17'''
Mstari 41: Mstari 43:
21. Wala usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba ya jirani yako, wala shamba lake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala kitu cho chote alicho nacho jirani yako.
21. Wala usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba ya jirani yako, wala shamba lake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala kitu cho chote alicho nacho jirani yako.
|}
|}
[[Picha:Decalogue parchment by Jekuthiel Sofer 1768.jpg|thumb|200px|Amri Kumi kwa maandishi ya [[Kiebrania]] kutoka [[sinagogi]] la [[Amsterdam]]]]
[[Picha:Decalogue parchment by Jekuthiel Sofer 1768.jpg|thumb|200px|Amri Kumi kwa maandishi ya [[Kiebrania]] katika [[sinagogi]] la [[Amsterdam]].]]
== Mpangilio wa Amri Kumi ==
Maneno katika Kutoka 20 huwa na amri mbalimbali. Namba kumi ni hesabu iliyotiliwa baadaye kwa orodha hii haikuwa nia ya kiasili kuwa na amri “10” kamili. Ila tu tayari wakati wa Biblia ilikuwa kawaida kuziita "amri 10" lakini bila kuonyesha namba au mpangilio katika maneno ya Biblia yenyewe.


== Mpangilio wa Amri Kumi ==
Hali hii ilisababisha tofauti ndogo katika hesabu ya amri hizi kati ya mapokeo ya madhehebu mbalimbali. Tofauti kuu ni kati ya Wayahudi wakifuatwa na Wakristo mbalimbali kwa upande moja na Wakatoliki pamoja na Walutheri na Wamoravian kwa upande mwingine kuhusu kutokuwa na sanamu za kuchonga. Tangu [[Agostino wa Hippo]] Wakatoliki walijumlisha sehemu kuhusu kutoabudu sanamu za kuchongwa pamoja na amri ya kutokuwa na miungu mingine. Kwa kufikia namba kumi Agostino aligawa sehemu ya mwisho kuwa amri mbili. Martin Luther alimfuata Agostino lakini Wareformed waliona mpangilio tofauti wakaihesabu kama amri ya pekee.
Maneno katika Kutoka 20 huwa na amri mbalimbali. Namba [[kumi]] ni [[hesabu]] iliyotiwa baadaye katika orodha hii, haikuwa nia asili kuwa na amri “10” kamili. Ila tu wakati wa Biblia ilikuwa kawaida tayari kuziita "amri 10", lakini bila kuonyesha [[namba]] au mpangilio katika maneno ya Biblia yenyewe.


Hali hii ilisababisha tofauti ndogo katika [[hesabu]] ya amri hizi kati ya [[mapokeo]] ya [[madhehebu]] mbalimbali. Tofauti kuu ni kati ya Wayahudi wakifuatwa na Wakristo mbalimbali kwa upande mmoja na [[Wakatoliki]] pamoja na [[Walutheri]] na [[Wamoravian]] kwa upande mwingine kuhusu kutokuwa na [[sanamu]] za kuchonga. Tangu [[Agostino wa Hippo]] Wakatoliki walijumlisha sehemu kuhusu kutoabudu sanamu za kuchongwa pamoja na amri ya kutokuwa na [[miungu]] mingine. Kwa kufikia namba [[kumi]] Agostino aligawa sehemu ya mwisho kuwa amri [[mbili]]. [[Martin Luther]] alimfuata Agostino lakini [[Wareformed]] waliona mpangilio tofauti wakaihesabu kama amri ya pekee.


<center>
<center>
Mstari 124: Mstari 126:
</center>
</center>


== Viungo vya Nje ==
==Amri Kumi katika Ukristo==
[[Faili:Tablets of the Ten Commandments in The Ten Commandments trailer 2.jpg|thumb|Vibao vyenye amri kumi za Mungu]]
* [http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Exod/20/ Maneno ya Amri Kumi katika Kutoka 20]
Katika Ukristo, amri za Mungu alizopewa [[Musa]] zinatazamiwa kutekelezwa chini ya uongozi wa [[Roho Mtakatifu]], anayeweka wafuasi wa Yesu huru kutoka utumwa wa sheria, kwa sababu ni masharti ya [[upendo]] yaliyodaiwa na [[Yesu]] pia. “Ninyi, ndugu, mliitwa mpate uhuru; lakini uhuru wenu usiwe sababu ya kuufuata mwili, bali tumikianeni kwa upendo. Maana torati yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili: Umpende jirani yako kama nafsi yako” ([[Gal]] 5:13-14). “Katika hili twajua kwamba twawapenda watoto wa Mungu: tumpendapo Mungu, na kuzishika amri zake. Kwa maana huku ndiko kumpenda Mungu, kwamba tuzishike amri zake; wala amri zake si nzito” ([[1Yoh]] 5:2-3).
* [http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Deut/5/ Maneno ya Amri Kumi katika Kumbukumbu la Torati 5]
* [http://www.vatican.va/archive/ccc_css/archive/catechism/command.htm Ulinganishaji wa matoleo ya Amri Kumi katika [[Katekisimu ya Kanisa Katoliki]], tafsiri ya [[Kiingereza]], katika [[tovuti]] ya [[Vatikani]]. Katika kurasa zinazofuata kuna ufafanuzi mrefu wa amri hizo kwa jumla na mojamoja]


Yesu alidai wafuasi wake washike amri za Mungu ili waufikie [[uzima wa milele]]. “Tazama, mtu mmoja alimwendea akamwambia, ‘Mwalimu, nitende jambo gani jema, ili nipate uzima wa milele?’ Akamwambia, ‘Kwani kuniuliza habari ya wema? Aliye mwema ni mmoja. Lakini ukitaka kuingia katika uzima, zishike amri’. Akamwambia, ‘Zipi?’ Yesu akasema, ‘Ni hizi: Usiue, usizini, usiibe, usishuhudie uongo, waheshimu baba yako na mama yako, na, mpende jirani yako kama nafsi yako” ([[Math]] 19:16-19).
{{mbegu-AganoK}}


Bila kushika amri hizo mtu hawezi kutukuzwa mbinguni kwa sababu anaonyesha hajali vya kutosha [[uhai]], [[utakatifu]] wa [[ndoa]], [[mali]] ya [[watu]], [[ukweli]], [[heshima]] kwa wakubwa na upendo kwa watu kwa jumla. Kupuuzia [[tunu]] hizo muhimu ni kumpuuzia [[Muumba]] aliyeziweka ziongoze wote [[Maisha|maishani]]. “Ee Israeli, tu heri sisi, maana mambo yampendezayo Mungu yamejulishwa kwetu” ([[Bar]] 4:4). “Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi” ([[1Kor]] 6:9-10). “Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati, wala mchafu, wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu, aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu” ([[Ef]] 5:5).

Injili haitaji amri zinazohusu [[ibada]] kwa Mungu kwa sababu Yesu aliona haja ya kusisitiza zile zinazohusu jirani, na kwa sababu hakutaka hizo za kwanza zifuatwe na [[Kanisa]] lake kama [[Wayahudi]] wanavyofanya. “Livunjeni hekalu hili, nami katika siku tatu nitalisimamisha... Wayahudi walizidi kutaka kumwua, kwa kuwa hakuivunja sabato tu, bali pamoja na hayo alimwita Mungu Baba yake, akijifanya sawa na Mungu” ([[Yoh]] 2:19; 5:18). “Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia” ([[Mk]] 2:28). “Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo” ([[Kol]] 2:16-17). “Basi, torati, kwa kuwa ni kivuli cha mema yatakayokuwa, wala si sura yenyewe ya mambo hayo, kwa dhabihu zilezile wanazozitoa kila mwaka daima, haiwezi wakati wowote kuwakamilisha wakaribiao... Lakini msisahau kutenda mema na kushirikiana, maana sadaka kama hizi ndizo zimpendezazo Mungu” ([[Eb]] 10:1; 13:16).

==Marejeo==
* {{Cite book|last=Aaron |first=David H |year=2006 |title=Etched in Stone: The Emergence of the Decalogue |publisher=Continuum |isbn=0-567-02791-0}}
* {{Cite book|last=Abdrushin |year=2009 |title=The Ten Commandments of God and the Lord's Prayer |publisher=Grail Foundation Press |isbn=1-57461-004-X}} http://the10com.org/index.html {{Wayback|url=http://the10com.org/index.html |date=20100523082204 }}
* {{citation | last = Barenboim | first = Peter | year = 2005 | title = Biblical Roots of Separation of Powers | place = Moscow | publisher = Letny Sad | ISBN = 5-94381-123-0 | url = http://lccn.loc.gov/2006400578}}.
* {{Cite book|last=Freedman |first=David Noel |authorlink=David Noel Freedman |year=2000 |title=The Nine Commandments. Uncovering a Hidden Pattern of Crime and Punishment in the Hebrew Bible |url=https://archive.org/details/ninecommandments00free |publisher=Doubleday |isbn=0-385-49986-8}}
* {{Cite book|last=Friedman |first=Richard Elliott |authorlink=Richard Elliott Friedman |year=1987 |title= Who Wrote the Bible? |url=https://archive.org/details/whowrotebible0000frie |publisher=Prentice Hall |location=Englewood Cliffs, NJ |isbn=0-671-63161-6}}
* {{Cite book|last=Hazony |first=David |authorlink=David Hazony |year=2010 |title=The Ten Commandments: How Our Most Ancient Moral Text Can Renew Modern Life |url=https://archive.org/details/tencommandmentsh0000hazo |publisher=Scribner |location=New York |isbn=1-4165-6235-4}}
* {{Cite book|last=Kaufmann |first=Yehezkel |authorlink=Yehezkel Kaufmann |year=1960 |others=trans. Moshe Greenberg |title=The Religion of Israel, From Its Beginnings To the Babylonian Exile |url=https://archive.org/details/religionofisrael0000kauf |publisher=University of Chicago Press |location=Chicago}}
* {{Cite book|last=Kuntz |first=Paul Grimley |year=2004 |title=The Ten Commandments in History: Mosaic Paradigms for a Well-Ordered Society |url=https://archive.org/details/tencommandmentsi0000kunt | publisher= Wm B Eerdmans Publishing, Emory University Studies in Law and Religion | isbn= 0-8028-2660-1}}
* {{Cite book|last=Mendenhall |first= George E |authorlink= George E. Mendenhall |year= 2001 |title= Ancient Israel's Faith and History: An Introduction To the Bible In Context |url=https://archive.org/details/ancientisraelsfa0000mend |publisher=Westminster John Knox Press |location=Louisville |isbn= 0-664-22313-3}}
* {{Cite book|last= Mendenhall |first= George E|year= 1973 |title= The Tenth Generation: The Origins of the Biblical Tradition |url= https://archive.org/details/tenthgenerationo0000mend |publisher=Johns Hopkins University Press |location=Baltimore |isbn=0-8018-1267-4}}

== Viungo vya nje ==
* [http://www.vatican.va/archive/ccc_css/archive/catechism/command.htm Ulinganishaji wa matoleo ya Amri Kumi katika [[Katekisimu ya Kanisa Katoliki]], tafsiri ya [[Kiingereza]], katika [[tovuti]] ya [[Vatikani]]. Katika kurasa zinazofuata kuna ufafanuzi mrefu wa amri hizo kwa jumla na mojamoja]
{{mbegu-AganoK}}
[[Jamii:Maadili]]
[[Jamii:Maadili]]
[[Jamii:Biblia]]
[[Jamii:Biblia]]
[[Jamii:Uyahudi]]
[[Jamii:Uyahudi]]
[[Jamii:Ukristo]]
[[Jamii:Ukristo]]

[[af:Tien Gebooie]]
[[ar:وصايا عشر]]
[[arc:ܥܣܪܐ ܦܘܩܕܢܐ]]
[[ba:10 шарт]]
[[bat-smg:Dešim Dieva isakīmu]]
[[bcl:An Sampolong Togon nin Diyos]]
[[bg:Десетте Божи заповеди]]
[[br:Gourc'hemennoù Doue]]
[[bs:Deset Božijih zapovijedi]]
[[ca:Deu manaments]]
[[cdo:Sĕk Gái]]
[[ceb:Napulo ka Sugo]]
[[cs:Desatero]]
[[da:De 10 bud]]
[[de:Zehn Gebote]]
[[diq:Des Emıri]]
[[el:Δέκα εντολές]]
[[en:Ten Commandments]]
[[eo:La Dekalogo]]
[[es:Diez Mandamientos]]
[[et:Kümme käsku]]
[[eu:Hamar Aginduak]]
[[fa:ده فرمان]]
[[fi:Kymmenen käskyä]]
[[fj:Na Vunau e Tini]]
[[fr:Décalogue]]
[[fur:Dîs Comandaments]]
[[gl:Dez Mandamentos]]
[[gn:Tupã oheja ñandéve pa porokuaitáva]]
[[ha:Dokokin nan goma]]
[[hak:Sṳ̍p-thiàu-kie]]
[[he:עשרת הדיברות]]
[[hr:Deset Božjih zapovijedi]]
[[hu:Tízparancsolat]]
[[hy:Տասնաբանյա]]
[[ia:Dece Commandamentos]]
[[id:Sepuluh Perintah Allah]]
[[is:Boðorðin tíu]]
[[it:Dieci comandamenti]]
[[ja:モーセの十戒]]
[[ka:ათი მცნება]]
[[ko:십계명]]
[[ku:Emrên Mezin]]
[[kw:An Dek Aradow]]
[[la:Decalogus]]
[[li:Tièn Gebode]]
[[lt:Dešimt Dievo įsakymų]]
[[lv:Desmit baušļi]]
[[mg:Didy Folo]]
[[mi:Ture tekau]]
[[mk:Десет Божји заповеди]]
[[ml:പത്ത് കൽപ്പനകൾ]]
[[ms:Sepuluh Rukun]]
[[my:ပညတ်တော်ဆယ်ပါး]]
[[nl:Tien geboden]]
[[nn:Dei ti bodorda]]
[[no:De ti bud]]
[[pl:Dekalog]]
[[pt:Dez Mandamentos]]
[[qu:Chunkantin Kamachiykuna]]
[[ro:Cele zece porunci]]
[[ru:Десять заповедей]]
[[sh:Deset zapovijedi]]
[[simple:Ten Commandments]]
[[sk:Desatoro]]
[[sl:Deset Božjih zapovedi]]
[[sm:E Sufulu 'Upu]]
[[sq:Dhjetë urdhëresat]]
[[sr:Десет Божјих заповести]]
[[sv:De tio budorden]]
[[ta:பத்துக் கட்டளைகள்]]
[[te:పది ఆజ్ఞలు]]
[[th:บัญญัติ 10 ประการ]]
[[tl:Sampung Utos ng Diyos]]
[[tr:On Emir]]
[[ug:ئون پەرھىز]]
[[uk:Десять заповідей]]
[[ur:دس احکام]]
[[vi:Mười điều răn]]
[[yi:עשרת הדיברות]]
[[yo:Òfin Mẹ́wàá]]
[[zh:十誡]]
[[zh-min-nan:Cha̍p-tiâu-kài]]

Toleo la sasa la 14:55, 23 Aprili 2024

Amri 10 - taswira ya Lucas Cranach Mzee.

Amri Kumi ni orodha ya amri kuu za Mungu katika Biblia. Za kwanza zinamhusu Mwenyezi Mungu mwenyewe, na zile zinazofuata mpaka mwisho zinahusu jirani, yaani binadamu wengine kuanzia wazazi.

Toleo la awali linapatikana katika kitabu cha Kutoka 20:1-17. Toleo la pili liko katika Kumbukumbu la Torati 5:1-21.

Amri hizi ni sehemu ya Torati ya Kiyahudi na kukubaliwa pia na Wakristo walio wengi kama amri zinazowahusu wao pia, tena wanaziona kuwa kimsingi zinawadai watu wote.

Hata hivyo wafuasi wa Yesu Kristo wanazishika kadiri ya utimilifu wake ulioletwa naye kama Agano Jipya. Mifano ya ukamilisho huo ni mafundisho ya Yesu katika Injili ya Mathayo 5:17-48.

Maneno ya Amri Kumi

[hariri | hariri chanzo]

Maneno yanayojulikana kama “Amri Kumi” yanapatikana katika vitabu vya Biblia "Kutoka" na "Kumbukumbu la Torati".

Kitabu cha Kutoka 20:2–17 Kitabu cha Kumbukumbu la Torati 5:6–21
2. Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.

3. Usiwe na miungu mingine ila mimi.
4. Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. 5. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi. BWANA Mungu wako, ni Mungu wenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, 6. nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
7. Usilitaje bure jina la BWANA hatamhesabiwa kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
8. Ikumbuke siku ya sabato uitakase. 9. Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; 10. lakini siku ya saba ni sabato ya BWANA, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya mlango yako. 11. Maana kwa siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo akastarehe siku ya saba; kwa hiyo BWANA akaibarikia siku ya sabato akaitakasa.



12. Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.
13. Usiue.
14. Usizini.
15. Usiibe.
16. Usishuhudie jirani yako uongo.
17. Usiitamani nyumba ya jirani yako; wala mke wake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.

6. Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.

7. Usiwe na miungu mingine ila mimi.
8. Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani, au kilicho majini chini ya nchi. 9. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, 10. nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
11. Usilitaje bure Jina la Bwana, Mungu wako; maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia, mtu alitajaye jina lake bure.
12. Ishike siku ya Sabato uitakase, kama Bwana, Mungu wako, alivyokuamuru. 13. Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; 14. lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako; siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwanao, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala ng'ombe wako, wala punda wako, wala mnyama wako ye yote, wala mgeni aliye ndani ya malango yako, ili mtumwa wako na mjakazi wako wapumzike vile vile kama wewe. 15. Nawe utakumbuka ya kuwa wewe ulikuwa mtumwa katika nchi ya Misri, na ya kuwa Bwana, Mungu wako, alikutoa huko kwa mkono wenye nguvu, na mkono ulionyoshwa; kwa sababu hiyo Bwana, Mungu wako, alikuamuru uishike sabato.
16. Waheshimu baba yako na mama yako; kama Bwana, Mungu wako, alivyokuamuru, siku zako zipate kuzidi, nawe upate kufanikiwa katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.
17. Usiue.
18. Wala usizini.
19. Wala usiibe.
20. Wala usimshuhudie jirani yako uongo.
21. Wala usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba ya jirani yako, wala shamba lake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala kitu cho chote alicho nacho jirani yako.

Amri Kumi kwa maandishi ya Kiebrania katika sinagogi la Amsterdam.

Mpangilio wa Amri Kumi

[hariri | hariri chanzo]

Maneno katika Kutoka 20 huwa na amri mbalimbali. Namba kumi ni hesabu iliyotiwa baadaye katika orodha hii, haikuwa nia asili kuwa na amri “10” kamili. Ila tu wakati wa Biblia ilikuwa kawaida tayari kuziita "amri 10", lakini bila kuonyesha namba au mpangilio katika maneno ya Biblia yenyewe.

Hali hii ilisababisha tofauti ndogo katika hesabu ya amri hizi kati ya mapokeo ya madhehebu mbalimbali. Tofauti kuu ni kati ya Wayahudi wakifuatwa na Wakristo mbalimbali kwa upande mmoja na Wakatoliki pamoja na Walutheri na Wamoravian kwa upande mwingine kuhusu kutokuwa na sanamu za kuchonga. Tangu Agostino wa Hippo Wakatoliki walijumlisha sehemu kuhusu kutoabudu sanamu za kuchongwa pamoja na amri ya kutokuwa na miungu mingine. Kwa kufikia namba kumi Agostino aligawa sehemu ya mwisho kuwa amri mbili. Martin Luther alimfuata Agostino lakini Wareformed waliona mpangilio tofauti wakaihesabu kama amri ya pekee.

Mpangilio wa Amri Kumi katika dini/madhehebu mbalimbali
Amri Wayahudi Waanglikana, Wareformed na wengineo Waorthodoksi Wakatoliki, Walutheri, Wamoravian
Mimi ni Bwana Mungu wako 1 (utangulizi) 1 1
Usiwe na miungu mingine ila mimi 2 1
Usijifanyie sanamu ya kuchonga 2 2
Usilitaje bure jina la Bwana 3 3 3 2
Ikumbuke siku ya sabato uitakase 4 4 4 3
Waheshimu baba yako na mama yako 5 5 5 4
Usiue 6 6 6 5
Usizini 7 7 7 6
Usiibe 8 8 8 7
Usishuhudie jirani yako uongo 9 9 9 8
Usiitamani nyumba ya jirani yako
Usitamani mke wake
10 10 10 9
Usiitamani cho chote alicho nacho jirani yako 10

Amri Kumi katika Ukristo

[hariri | hariri chanzo]
Vibao vyenye amri kumi za Mungu

Katika Ukristo, amri za Mungu alizopewa Musa zinatazamiwa kutekelezwa chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu, anayeweka wafuasi wa Yesu huru kutoka utumwa wa sheria, kwa sababu ni masharti ya upendo yaliyodaiwa na Yesu pia. “Ninyi, ndugu, mliitwa mpate uhuru; lakini uhuru wenu usiwe sababu ya kuufuata mwili, bali tumikianeni kwa upendo. Maana torati yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili: Umpende jirani yako kama nafsi yako” (Gal 5:13-14). “Katika hili twajua kwamba twawapenda watoto wa Mungu: tumpendapo Mungu, na kuzishika amri zake. Kwa maana huku ndiko kumpenda Mungu, kwamba tuzishike amri zake; wala amri zake si nzito” (1Yoh 5:2-3).

Yesu alidai wafuasi wake washike amri za Mungu ili waufikie uzima wa milele. “Tazama, mtu mmoja alimwendea akamwambia, ‘Mwalimu, nitende jambo gani jema, ili nipate uzima wa milele?’ Akamwambia, ‘Kwani kuniuliza habari ya wema? Aliye mwema ni mmoja. Lakini ukitaka kuingia katika uzima, zishike amri’. Akamwambia, ‘Zipi?’ Yesu akasema, ‘Ni hizi: Usiue, usizini, usiibe, usishuhudie uongo, waheshimu baba yako na mama yako, na, mpende jirani yako kama nafsi yako” (Math 19:16-19).

Bila kushika amri hizo mtu hawezi kutukuzwa mbinguni kwa sababu anaonyesha hajali vya kutosha uhai, utakatifu wa ndoa, mali ya watu, ukweli, heshima kwa wakubwa na upendo kwa watu kwa jumla. Kupuuzia tunu hizo muhimu ni kumpuuzia Muumba aliyeziweka ziongoze wote maishani. “Ee Israeli, tu heri sisi, maana mambo yampendezayo Mungu yamejulishwa kwetu” (Bar 4:4). “Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi” (1Kor 6:9-10). “Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati, wala mchafu, wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu, aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu” (Ef 5:5).

Injili haitaji amri zinazohusu ibada kwa Mungu kwa sababu Yesu aliona haja ya kusisitiza zile zinazohusu jirani, na kwa sababu hakutaka hizo za kwanza zifuatwe na Kanisa lake kama Wayahudi wanavyofanya. “Livunjeni hekalu hili, nami katika siku tatu nitalisimamisha... Wayahudi walizidi kutaka kumwua, kwa kuwa hakuivunja sabato tu, bali pamoja na hayo alimwita Mungu Baba yake, akijifanya sawa na Mungu” (Yoh 2:19; 5:18). “Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia” (Mk 2:28). “Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo” (Kol 2:16-17). “Basi, torati, kwa kuwa ni kivuli cha mema yatakayokuwa, wala si sura yenyewe ya mambo hayo, kwa dhabihu zilezile wanazozitoa kila mwaka daima, haiwezi wakati wowote kuwakamilisha wakaribiao... Lakini msisahau kutenda mema na kushirikiana, maana sadaka kama hizi ndizo zimpendezazo Mungu” (Eb 10:1; 13:16).

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya Agano la Kale bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amri Kumi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.