Nenda kwa yaliyomo

Pangaia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
picha
No edit summary
 
(marekebisho 27 ya kati na watumizi wengine 15 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Pangaea continents.png|thumb|right|300px|Ramani ya Pangaia inayoonesha vipande vyake viliovyokuwa mabara ya leo]]
[[Picha:Pangaea continents.svg|lang=sw|thumb|right|300px|Ramani ya Pangaia inayoonesha vipande vyake viliovyokuwa mabara ya leo]]
[[Image:Pangea animation 03.gif|thumb|240px|Mwendo wa mabamba: jinsi [[Pangaea]] ilivyoachana na mabara ya leo kutokea]]
[[Picha:Pangea animation 03.gif|thumb|240px|Mwendo wa mabamba: jinsi [[Pangaea]] ilivyoachana na mabara ya leo kutokea]]
'''Pangaia''' (pia: '''Pangaea''' kutoka Kigir. πᾶν ''pan'' "yote" na γαῖα ''gaia'' ardhi, dunia) ni neno la [[Kigiriki]] linalomaanisha "dunia yote, dunia nzima".
'''Pangaia''' (pia: '''Pangaea''' kutoka [[Kigiriki]] πᾶν ''pan'' "yote" na γαῖα ''gaia'' ardhi, dunia) ni neno linalomaanisha "dunia yote, dunia nzima".


Katika nadharia ya sayansi ya jiografia inamaanisha [[bara]] kubwa linaloaminiwa kuwa liliunganisha bara zote za dunia takriban miaka milioni 250 iliyopita. Maana yake wakati ule sehemu zote za nchi kavu zilikuwepo mahali pamoja kwenye uso wa dunia yetu. Bara hili kuu lilizungukwa na maji ya [[Panthalassa]] iliyokuwa bahari ya pekee duniani.
Katika [[nadharia]] ya [[sayansi]] ya [[jiografia]] inamaanisha [[bara]] kubwa linaloaminiwa kuwa liliunganisha mabara yote ya dunia ya leo takriban miaka [[milioni]] 250 iliyopita. Maana yake wakati ule sehemu zote za nchi kavu zilikuwepo mahali pamoja kwenye uso wa dunia yetu. Bara hilo kuu lilizungukwa na [[maji]] ya [[Panthalassa]] iliyokuwa [[bahari]] pekee duniani.


==Kuvunjika kwa Pangaia==
== Kusambaratika kwa Pangaia ==
Kutokana na mwendo wa [[gandunia]] pangaia ilianza kuvunjika takriban miaka milioni 150 iliyopita. Sehemu kubwa 2 zinazoitwa na wataalamu [[Laurasia]] na [[Gondwana]] zikatokea ambazo zikaendelea kuvunjika tena kwa [[mabamba ya gandunia]] ambayo leo hii ni mabara tunavyoijua.
Kutokana na mwendo wa [[gandunia]] Pangaia ilianza kuvunjika takriban miaka milioni 150 iliyopita. Sehemu kubwa 2 zinazoitwa na [[wataalamu]] [[Laurasia]] na [[Gondwana]] zikatokea ambazo zikaendelea kuvunjika tena kwa [[mabamba ya gandunia]] ambayo leo hii ni mabara tunavyoyajua.


==Pangaia ya nadharia ya gandunia==
== Pangaia ya nadharia ya gandunia ==
Katika mawazo ya wataalamu Pangaia haikuwa bara la kwanza duniani; yenyewe ilitokea baada ya kugongana kwa mabara yaliyotangulia. Katika nadharia ya gandunia kila bara liko kwenye bamba la gandunia linaloelea juu ya [[magma]] joto ya [[koti ya dunia]]. Joto la magma linasukuma mabamba haya na kusababisha mwendo wa mababmba yanaoweza kukaribiana hadi kuungana au kuvunjia na kwenda mbali.
Katika mawazo ya wataalamu Pangaia haikuwa bara la kwanza duniani; yenyewe ilitokea baada ya kugongana kwa mabara yaliyotangulia. Katika nadharia ya [[gandunia]] kila bara liko kwenye [[bamba la gandunia]] linaloelea juu ya [[magma]] [[moto]] ya [[koti ya dunia]]. [[Joto]] la magma linasukuma mabamba hayo na kusababisha mwendo wa mabamba yanayoweza kukaribiana hadi kuungana au kuvunjia na kwenda mbali.
{{mbegu-jio}}

[[Jamii:Gandunia]]
{{stub}}

[[Category:Gandunia]]
[[Jamii:Jiografia]]
[[Jamii:Jiografia]]
[[Jamii:bara]]

[[ar:بانجيا]]
[[ast:Panxea]]
[[bs:Pangea]]
[[br:Pangea]]
[[bg:Пангея]]
[[ca:Pangea]]
[[ceb:Pangaea]]
[[cs:Pangea]]
[[cy:Pangaea]]
[[da:Pangæa]]
[[de:Pangaea]]
[[dv:ޕަންގިއާ]]
[[et:Pangaea]]
[[el:Παγγαία]]
[[en:Pangaea]]
[[es:Pangea]]
[[eo:Pangeo]]
[[eu:Pangea]]
[[fa:پانگئا]]
[[fr:Pangée]]
[[gd:Pangaea]]
[[gl:Panxea]]
[[ko:판게아]]
[[hr:Pangea]]
[[id:Pangea]]
[[it:Pangea]]
[[he:פנגיאה]]
[[ka:პანგეა]]
[[ht:Panje]]
[[la:Pangaea]]
[[lb:Pangäa]]
[[lt:Pangėja]]
[[hu:Pangea]]
[[ml:പാന്‍‌ജിയ]]
[[mt:Pangea]]
[[mr:पँजिआ]]
[[nl:Pangea]]
[[ja:パンゲア大陸]]
[[no:Pangea]]
[[nn:Pangea]]
[[nov:Pangea]]
[[pl:Pangea]]
[[pt:Pangeia]]
[[ru:Пангея]]
[[scn:Pangea]]
[[sk:Pangea]]
[[sl:Pangea]]
[[sr:Пангеа]]
[[fi:Pangea]]
[[sv:Pangaea]]
[[tl:Pangaea]]
[[ta:ஒருநிலக் கொள்கை]]
[[tt:Пангея]]
[[th:มหาทวีปแพนเจีย]]
[[tr:Pangea]]
[[uk:Пангея]]
[[vi:Pangaea]]
[[wa:Pandjêye]]
[[wuu:盘古大陆]]
[[zh:盤古大陸]]

Toleo la sasa la 12:33, 23 Aprili 2023

Ramani ya Pangaia inayoonesha vipande vyake viliovyokuwa mabara ya leo
Mwendo wa mabamba: jinsi Pangaea ilivyoachana na mabara ya leo kutokea

Pangaia (pia: Pangaea kutoka Kigiriki πᾶν pan "yote" na γαῖα gaia ardhi, dunia) ni neno linalomaanisha "dunia yote, dunia nzima".

Katika nadharia ya sayansi ya jiografia inamaanisha bara kubwa linaloaminiwa kuwa liliunganisha mabara yote ya dunia ya leo takriban miaka milioni 250 iliyopita. Maana yake wakati ule sehemu zote za nchi kavu zilikuwepo mahali pamoja kwenye uso wa dunia yetu. Bara hilo kuu lilizungukwa na maji ya Panthalassa iliyokuwa bahari pekee duniani.

Kusambaratika kwa Pangaia

[hariri | hariri chanzo]

Kutokana na mwendo wa gandunia Pangaia ilianza kuvunjika takriban miaka milioni 150 iliyopita. Sehemu kubwa 2 zinazoitwa na wataalamu Laurasia na Gondwana zikatokea ambazo zikaendelea kuvunjika tena kwa mabamba ya gandunia ambayo leo hii ni mabara tunavyoyajua.

Pangaia ya nadharia ya gandunia

[hariri | hariri chanzo]

Katika mawazo ya wataalamu Pangaia haikuwa bara la kwanza duniani; yenyewe ilitokea baada ya kugongana kwa mabara yaliyotangulia. Katika nadharia ya gandunia kila bara liko kwenye bamba la gandunia linaloelea juu ya magma moto ya koti ya dunia. Joto la magma linasukuma mabamba hayo na kusababisha mwendo wa mabamba yanayoweza kukaribiana hadi kuungana au kuvunjia na kwenda mbali.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.