Nenda kwa yaliyomo

Bahari ya Ross : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
 
(Sahihisho moja la kati na mtumizi mwingine na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 19: Mstari 19:
== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
{{commons cat}}
{{commons cat}}
{{Bahari za Dunia}}

[[Jamii:Bahari]]
[[Jamii:Bahari]]
[[Jamii:Bahari ya Kusini]]
[[Jamii:Bahari ya Kusini]]
[[Jamii:jiografia ya Antaktika]]
[[Jamii:jiografia ya Antaktiki]]

Toleo la sasa la 08:54, 9 Mei 2022

Ramani ya Bara la Antaktiki.

Bahari ya Ross ni sehemu ya Bahari ya Kusini iliyopo katika hori kubwa huko Antaktiki kati ya Nchi ya Viktoria na Nchi ya Marie Byrd.

Bahari ya Ross iligunduliwa na nahodha Mwingereza James Ross mnamo 1841. Magharibi mwa Bahari ya Ross kipo Kisiwa cha Ross. Mashariki kiko Kisiwa cha Roosevelt. Sehemu ya kusini imefunikwa na barafu. [1] Katika magharibi mwa bahari ya Ross kuna bandari ambayo kwa kawaida huwa haina barafu wakati wa kiangazi.

New Zealand inadai usimamizi juu ya maeneo yote katika Bahari ya Ross.

Umuhimu wa kiikolojia na uhifadhi

[hariri | hariri chanzo]

Katika msimu wa joto kuna planktoni nyingi ambayo ni muhimu kama chanzo cha chakula kwa spishi kubwa kama vile samaki, sili, nyangumi, na ndege wa bahari.

Kwenye pwani za bahari hii kuna sehemu ambapo spishi mbalimbali za ngwini hukutana na kuzaa. [1]

Bahari ya Ross ni mojawapo ya sehemu za mwisho za bahari duniani zisizoathiriwa bado na shughuli za wanadamu. Kwa sababu hiyo hakuna uchafuzi wa mazingira.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: