Nenda kwa yaliyomo

Gideon Byamugisha : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d viungo vya tarehe na mwaka
Rescuing 2 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
 
(marekebisho 6 ya kati na watumizi wengine 6 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
'''Gideon Byamugisha''' ni [[kasisi]] Mwanglikana [[Mganda]] na [[mchungaji]] wa kwanza Mwafrika aliyetangaza wazi ya kwamba ameambukizwa na [[UKIMWI]].
[[Picha:Gideon Byamugisha 1.jpg|thumbnail]]
'''Gideon Byamugisha''' ni [[kasisi]] [[anglikana|Mwanglikana]] wa [[Uganda]] na [[mchungaji]] wa kwanza [[Mwafrika]] aliyetangaza wazi ya kwamba ameambukizwa [[UKIMWI]].
Alizaliwa tar. [[29 Agosti]], [[1959]] Buranga Ndorwa, Wilaya ya Kabale, [[Uganda]] wa Magharibi akasoma ualimu kwenye [[Chuo Kikuu cha Makerere]] akamaliza kwa digrii mwaka 1985.
Akaendelea kusoma digrii ya [[theolojia]] huko [[Nairobi]] akapokelewa katika utumishi wa [[Kanisa la Kianglikana]] Uganda mwaka 1991. Mwaka uleule mke wake alikufa kutokana na UKIMWI.

==Maisha==
1992 alipokea baraka ngazi ya ukasisi akapewa jukumu la kufundisha chuo cha theolojia Mukono (sasa: [[Chuo Kikuu cha Kikristo cha Uganda]]). Wakati ule alifuata ushauri kutafuta upimaji wa damu yake ahakikishe hana UKIMWI. Alipopimwa akaonekana kuwa na viini vya [[HIV]] vilevile. Aliambiwa matokeo dakika chache tu kabla ya kuwa na somo chuoni. Aliamua kuwaambia wasikilizaji wake wakiwa na walimu wenzake ya kuwa amepatikana na HIV.
Alizaliwa Buranga Ndorwa, [[Wilaya ya Kabale]], [[Uganda]] wa Magharibi [[tarehe]] [[29 Agosti]] [[1959]] akasomea [[ualimu]] kwenye [[Chuo Kikuu cha Makerere]] akamaliza kwa [[digrii]] mwaka [[1985]].

Akaendelea kusoma digrii ya [[theolojia]] huko [[Nairobi]] akapokelewa katika utumishi wa [[Kanisa la Kianglikana]] Uganda mwaka 1991. Mwaka uleule mke wake alikufa kutokana na UKIMWI.
Tangazo hili lilipokelewa kwa mshangao kwani katika utamaduni wa kiafrika na zaidi katika utamaduni wa kidini wa Afrika haikuwahi kutokea ya kwamba kiongozi wa kidini anasema waziwazi kuwa ameambukizwa UKIMWI. Kinyume chake mara nyingi wahubiri walitumia mfano wa UKIMWI kuonyesha ya kuwa ni adhabu kutoka Mungu na dalili ya dhambi.

1992 alipokea baraka ngazi ya ukasisi akapewa jukumu la kufundisha chuo cha theolojia Mukono (sasa: [[Chuo Kikuu cha Kikristo cha Uganda]]). Wakati ule alifuata ushauri kutafuta upimaji wa damu yake ahakikishe hana UKIMWI. Alipopimwa akaonekana kuwa na viini vya [[HIV]] vilevile. Aliambiwa matokeo dakika chache tu kabla ya kuwa na somo chuoni. Aliamua kuwaambia wasikilizaji wake wakiwa na walimu wenzake ya kuwa amepatikana na HIV.
Gideoni Byamugisha aliitwa na kanisa lake kuanzia mwaka 1993 kusaidia katika mradi wa UKIMWI wa kanisa. 1995 - 2002 aliongoza idara wa HIV/UKIMWI ya dayosisi ya Kianglikana ya [[Namirembe]].

Tangazo hili lilipokelewa kwa mshangao kwani katika utamaduni wa kiafrika na zaidi katika utamaduni wa kidini wa Afrika haikuwahi kutokea ya kwamba kiongozi wa kidini anasema waziwazi kuwa ameambukizwa UKIMWI. Kinyume chake mara nyingi wahubiri walitumia mfano wa UKIMWI kuonyesha ya kuwa ni adhabu kutoka Mungu na dalili ya dhambi.
Mwaka 1995 alifunga ndoa mara ya pili akimwoa Pamela aliyekuwa mjane wakati ule kutokana na UKIMWI akipatikana mwenyewe na viini vya HIV. Wanalea watoto wao kutoka ndoa zote mbili za awali pia wakamzaa mtoto wa pamoja asiye na HIV kutokana na tibu la [[madawa ya ARV]].

Gideoni Byamugisha aliitwa na kanisa lake kuanzia mwaka 1993 kusaidia katika mradi wa UKIMWI wa kanisa. 1995 - 2002 aliongoza idara wa HIV/UKIMWI ya dayosisi ya Kianglikana ya [[Namirembe]].
Siku hizi (2005) Byamugisha anafanya kazi na shirika la [[Word Vision International]] pia pamoja na kasisi Jape Heath kutoka [[Afrika Kusini]] ameunda "Umoja wa viongozi wa kidini wa Afrika wanaoishi na UKIMWI" (ANERELA African Network of Religious Leaders living with HIV/AIDS).

Mwaka 1995 alifunga ndoa mara ya pili akimwoa Pamela aliyekuwa mjane wakati ule kutokana na UKIMWI akipatikana mwenyewe na viini vya HIV. Wanalea watoto wao kutoka ndoa zote mbili za awali pia wakamzaa mtoto wa pamoja asiye na HIV kutokana na tibu la [[madawa ya ARV]].

Siku hizi (2005) Byamugisha anafanya kazi na shirika la [[Word Vision International]] pia pamoja na kasisi Jape Heath kutoka [[Afrika Kusini]] ameunda "Umoja wa viongozi wa kidini wa Afrika wanaoishi na UKIMWI" (ANERELA African Network of Religious Leaders living with HIV/AIDS).
==Viungo vya nje==
* [http://www.samaritan-strategy-africa.org/resource_material3.htm Samaritan Strategy Africa] (Kiingereza)

==Viungo vya nje==
[[Category: Watu wa Uganda]]
* [http://www.samaritan-strategy-africa.org/resource_material3.htm Samaritan Strategy Africa] {{Wayback|url=http://www.samaritan-strategy-africa.org/resource_material3.htm |date=20070929121304 }} (Kiingereza)
*[http://www.anerela.org/index.php ANERELA] {{Wayback|url=http://www.anerela.org/index.php |date=20111006221552 }}
* [http://www.irinnews.org/film Watch a film on Gideon Byamugisha]
[[Jamii:Waliozaliwa 1959]]
[[Category:Watu wa Uganda]]
[[Category:Ukimwi]]
[[Category:Ukimwi]]

Toleo la sasa la 06:45, 16 Januari 2021

Gideon Byamugisha ni kasisi Mwanglikana wa Uganda na mchungaji wa kwanza Mwafrika aliyetangaza wazi ya kwamba ameambukizwa UKIMWI.

Alizaliwa Buranga Ndorwa, Wilaya ya Kabale, Uganda wa Magharibi tarehe 29 Agosti 1959 akasomea ualimu kwenye Chuo Kikuu cha Makerere akamaliza kwa digrii mwaka 1985.

Akaendelea kusoma digrii ya theolojia huko Nairobi akapokelewa katika utumishi wa Kanisa la Kianglikana Uganda mwaka 1991. Mwaka uleule mke wake alikufa kutokana na UKIMWI.

1992 alipokea baraka ngazi ya ukasisi akapewa jukumu la kufundisha chuo cha theolojia Mukono (sasa: Chuo Kikuu cha Kikristo cha Uganda). Wakati ule alifuata ushauri kutafuta upimaji wa damu yake ahakikishe hana UKIMWI. Alipopimwa akaonekana kuwa na viini vya HIV vilevile. Aliambiwa matokeo dakika chache tu kabla ya kuwa na somo chuoni. Aliamua kuwaambia wasikilizaji wake wakiwa na walimu wenzake ya kuwa amepatikana na HIV.

Tangazo hili lilipokelewa kwa mshangao kwani katika utamaduni wa kiafrika na zaidi katika utamaduni wa kidini wa Afrika haikuwahi kutokea ya kwamba kiongozi wa kidini anasema waziwazi kuwa ameambukizwa UKIMWI. Kinyume chake mara nyingi wahubiri walitumia mfano wa UKIMWI kuonyesha ya kuwa ni adhabu kutoka Mungu na dalili ya dhambi.

Gideoni Byamugisha aliitwa na kanisa lake kuanzia mwaka 1993 kusaidia katika mradi wa UKIMWI wa kanisa. 1995 - 2002 aliongoza idara wa HIV/UKIMWI ya dayosisi ya Kianglikana ya Namirembe.

Mwaka 1995 alifunga ndoa mara ya pili akimwoa Pamela aliyekuwa mjane wakati ule kutokana na UKIMWI akipatikana mwenyewe na viini vya HIV. Wanalea watoto wao kutoka ndoa zote mbili za awali pia wakamzaa mtoto wa pamoja asiye na HIV kutokana na tibu la madawa ya ARV.

Siku hizi (2005) Byamugisha anafanya kazi na shirika la Word Vision International pia pamoja na kasisi Jape Heath kutoka Afrika Kusini ameunda "Umoja wa viongozi wa kidini wa Afrika wanaoishi na UKIMWI" (ANERELA African Network of Religious Leaders living with HIV/AIDS).

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]