Bata-miti : Tofauti kati ya masahihisho
Mandhari
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: br:Dendrocygna |
Sahihisho |
||
(marekebisho 21 ya kati na watumizi wengine 10 na yule ambaye hajaonyeshwa) | |||
Mstari 10: | Mstari 10: | ||
| oda = [[Anseriformes]] (Ndege kama bata) |
| oda = [[Anseriformes]] (Ndege kama bata) |
||
| familia = [[Anatidae]] (Ndege walio na mnasaba na bata) |
| familia = [[Anatidae]] (Ndege walio na mnasaba na bata) |
||
| |
| nusufamilia = [[Dendrocygninae]] |
||
| bingwa_wa_nusufamilia = [[Ludwig Reichenbach|Reichenbach]], 1853 |
|||
⚫ | |||
⚫ | |||
| bingwa_wa_jenasi = [[William Swainson|Swainson]], 1837 |
|||
| subdivision = '''Spishi 8:''' |
|||
* ''[[Dendrocygna arborea|D. arborea]]'' <small>([[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758)</small> |
|||
* ''[[Dendrocygna arcuata|D. arcuata]]'' <small>([[Thomas Horsfield|Horsfield]], 1824)</small> |
|||
* ''[[Dendrocygna autumnalis|D. autumnalis]]'' <small>(Linnaeus, 1758)</small> |
|||
* ''[[Dendrocygna bicolor|D. bicolor]]'' <small>([[Louis Jean Pierre Vieillot|Vieillot]], 1816)</small> |
|||
* ''[[Dendrocygna eytoni|D. eytoni]]'' <small>([[Thomas Campbell Eyton|Eyton]], 1838)</small> |
|||
⚫ | |||
* ''[[Dendrocygna javanica|D. javanica]]'' <small>(Horsfield, 1821)</small> |
|||
* ''[[Dendrocygna viduata|D. viduata]]'' <small>(Linnaeus, 1766)</small> |
|||
}} |
}} |
||
'''Mabata-miti''' au '''Dendrocygninae''' ni [[ |
'''Mabata-miti''' au '''Dendrocygninae''' ni [[nusufamilia]] ya [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Anatidae]] yenye [[jenasi]] moja tu, ''[[Dendrocygna]]''. [[Uainishaji|Waainishaji]] wengine wanawaweka ndani ya familia yao wenyewe '''Dendrocygnidae''' au ndani ya [[kabila]] '''Dendrocygnini''' ya familia ndogo [[Anserinae]]. Leo kuna [[spishi]] nane za mabata-miti na [[kisukuku|visukuku]] vya spishi ingine vimefunuliwa kisiwani kwa [[Aitutaki]], [[Visiwa vya Cook]]. Wanaitwa mabata-miti kwa sababu hujenga matago yao pengine ndani ya miti. Lakini kwa Kiingereza wanaitwa “whistling ducks” sikuhizi kwa sababu ya sauti yao kama mluzi. Mabata hawa wanatokea popote kwa kanda za [[tropiki]] na [[nusu-tropiki]]. Wana miguu mirefu na shingo refu na wanapenda kuwa pamoja. Makundi makubwa ya ndege hawa huonekana maziwani. |
||
==Spishi za Afrika== |
== Spishi za Afrika == |
||
⚫ | |||
* ''Dendrocygna bicolor'', [[Bata-miti Kahawia]] ([[w:Fulvous Whistling Duck|Fulvous Whistling Duck]]) |
* ''Dendrocygna bicolor'', [[Bata-miti Kahawia]] ([[w:Fulvous Whistling Duck|Fulvous Whistling Duck]]) |
||
* ''Dendrocygna viduata'', [[Bata-miti Uso-mweupe]] ([[w:White-faced Whistling Duck|White-faced Whistling Duck]]) |
* ''Dendrocygna viduata'', [[Bata-miti Uso-mweupe]] ([[w:White-faced Whistling Duck|White-faced Whistling Duck]]) |
||
==Spishi za mabara mengine== |
== Spishi za mabara mengine == |
||
* ''Dendrocygna arborea'' ([[w: |
* ''Dendrocygna arborea'' ([[w:West Indian Whistling Duck|West Indian Whistling Duck]]) |
||
* ''Dendrocygna arcuata'' ([[w:Wandering Whistling Duck|Wandering Whistling Duck]]) |
* ''Dendrocygna arcuata'' ([[w:Wandering Whistling Duck|Wandering Whistling Duck]]) |
||
⚫ | |||
* ''Dendrocygna eytoni'' ([[w:Plumed Whistling Duck|Plumed Whistling Duck]]) |
* ''Dendrocygna eytoni'' ([[w:Plumed Whistling Duck|Plumed Whistling Duck]]) |
||
* ''Dendrocygna guttata'' ([[w:Spotted Whistling Duck|Spotted Whistling Duck]]) |
* ''Dendrocygna guttata'' ([[w:Spotted Whistling Duck|Spotted Whistling Duck]]) |
||
* ''Dendrocygna javanica'' ([[w:Lesser Whistling Duck|Lesser Whistling Duck]]) |
* ''Dendrocygna javanica'' ([[w:Lesser Whistling Duck|Lesser Whistling Duck]]) |
||
==Picha== |
== Picha == |
||
<gallery> |
<gallery> |
||
Gelbe Pfeifgans Dendrocygna bicolor 0505261 Ausschnitt.jpg|Bata-miti kahawia |
|||
⚫ | |||
Image:Gelbe Pfeifgans Dendrocygna bicolor 0505261 Ausschnitt.jpg|Bata-miti kahawia |
|||
⚫ | |||
</gallery> |
</gallery> |
||
<gallery> |
<gallery> |
||
Black-billed.wh.duck.arp.500pix.jpg|West Indian whistling duck |
|||
Dendrocygna arcuata.jpg|Wandering whistling duck |
|||
Whistling duck - natures pics.jpg|Black-bellied whistling duck |
|||
Dendrocygna eytoni.jpg|Plumed whistling duck |
|||
Birds www.photo.org.es-30.jpg|Spotted whistling duck |
|||
Lesser Whistling-duck (Dendrocygna javanica)- after bath at Kolkata I IMG 2480.jpg|Lesser whistling duck |
|||
</gallery> |
</gallery> |
||
[[ |
[[Jamii:Mabata]] |
||
⚫ | |||
[[da:Træænder]] |
|||
[[de:Pfeifgänse]] |
|||
[[en:Dendrocygninae]] |
|||
[[es:Dendrocygninae]] |
|||
[[fr:Dendrocygninae]] |
|||
[[hr:Dendrocygninae]] |
|||
[[hu:Fütyülőlúdformák]] |
|||
[[ja:リュウキュウガモ科 (Sibley)]] |
|||
[[no:Plystreender]] |
|||
[[pl:Drzewice]] |
|||
[[pt:Dendrocygnidae]] |
|||
[[ru:Древесные утки]] |
|||
[[sv:Visseländer]] |
|||
[[vi:Phân họ Le nâu]] |
Toleo la sasa la 15:18, 10 Novemba 2020
Bata-miti | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Spishi 8:
|
Mabata-miti au Dendrocygninae ni nusufamilia ya familia ya Anatidae yenye jenasi moja tu, Dendrocygna. Waainishaji wengine wanawaweka ndani ya familia yao wenyewe Dendrocygnidae au ndani ya kabila Dendrocygnini ya familia ndogo Anserinae. Leo kuna spishi nane za mabata-miti na visukuku vya spishi ingine vimefunuliwa kisiwani kwa Aitutaki, Visiwa vya Cook. Wanaitwa mabata-miti kwa sababu hujenga matago yao pengine ndani ya miti. Lakini kwa Kiingereza wanaitwa “whistling ducks” sikuhizi kwa sababu ya sauti yao kama mluzi. Mabata hawa wanatokea popote kwa kanda za tropiki na nusu-tropiki. Wana miguu mirefu na shingo refu na wanapenda kuwa pamoja. Makundi makubwa ya ndege hawa huonekana maziwani.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Dendrocygna bicolor, Bata-miti Kahawia (Fulvous Whistling Duck)
- Dendrocygna viduata, Bata-miti Uso-mweupe (White-faced Whistling Duck)
Spishi za mabara mengine
[hariri | hariri chanzo]- Dendrocygna arborea (West Indian Whistling Duck)
- Dendrocygna arcuata (Wandering Whistling Duck)
- Dendrocygna autumnalis (Black-bellied Whistling Duck)
- Dendrocygna eytoni (Plumed Whistling Duck)
- Dendrocygna guttata (Spotted Whistling Duck)
- Dendrocygna javanica (Lesser Whistling Duck)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Bata-miti kahawia
-
Bata-miti uso-mweupe
-
West Indian whistling duck
-
Wandering whistling duck
-
Black-bellied whistling duck
-
Plumed whistling duck
-
Spotted whistling duck
-
Lesser whistling duck