Kalisi : Tofauti kati ya masahihisho
d r2.7.2) (roboti Nyongeza: pms:Càuss (element) |
No edit summary |
||
(marekebisho 17 ya kati na watumizi wengine 14 na yule ambaye hajaonyeshwa) | |||
Mstari 2: | Mstari 2: | ||
| rangi =#ffdead |
| rangi =#ffdead |
||
| jina = Kalisi |
| jina = Kalisi |
||
| picha = Ca-TableImage. |
| picha = Ca-TableImage.svg |
||
| maelezo_ya_picha = |
| maelezo_ya_picha = |
||
| alama = Ca |
| alama = Ca |
||
Mstari 10: | Mstari 10: | ||
| valensi = |
| valensi = |
||
| densiti husianifu = 1.55 |
| densiti husianifu = 1.55 |
||
| ugumu = 1.75 |
|||
| kiwango cha kuyeyuka = 1115 [[K]] (842 [[°C]]) |
| kiwango cha kuyeyuka = 1115 [[K]] (842 [[°C]]) |
||
| kiwango cha kuchemka = 1757 K (1484 °C) |
| kiwango cha kuchemka = 1757 K (1484 °C) |
||
Mstari 18: | Mstari 19: | ||
}} |
}} |
||
'''Kalisi''' ni [[elementi]] na [[metali ya udongo |
'''Kalisi''' ni [[elementi]] na [[metali ya udongo alkalini]] yenye [[namba atomia]] '''20''' kwenye [[mfumo radidia]] ina [[uzani atomia]] 40.078. [[Alama]] yake ni '''Ca'''. [[Jina]] linahusiana na [[neno]] la [[Kilatini]] ''calx'' ([[mawe]] ya [[chokaa]]). |
||
== Tabia == |
== Tabia == |
||
Kalisi ni kati ya elementi zinazopatiikana kwa wingi duniani ikiwa na nafasi ya tano |
Kalisi ni kati ya elementi zinazopatiikana kwa wingi [[duniani]], ikiwa na nafasi ya [[tano]]: [[asilimia]] 3.39 za [[ganda la dunia]] ni kalisi. Ikisafishwa hutokea kama [[metali]] laini yenye [[rangi]] [[nyeupe]]-[[fedha]]. |
||
Inamenyuka rahisi kikemia hivyo haitokei kama elementi tupu lakini kwa kampaundi mbalimbali hasa katika mawe. |
Inamenyuka rahisi [[Kemia|kikemia]] hivyo haitokei kama elementi tupu lakini kwa [[kampaundi]] mbalimbali hasa katika mawe. |
||
Unga wa kalisi au vipande vidogo vya metali huungua moto |
[[Unga]] wa kalisi au vipande vidogo vya metali huungua [[moto]] wenye rangi ya [[njano]]-[[nyekundu]], unga hata bila kuwashwa kwa kumenyuka [[Hewa|hewani]] tu. |
||
Kalisi ni muhimu kwa miili ya wanadamu na wanyama pia kwa mimea kwa sababu inajenga mifupa na meno. Ina pia kazi katika mishipa. |
Kalisi ni muhimu kwa [[miili]] ya [[wanadamu]] na [[wanyama]], pia kwa [[mimea]], kwa sababu inajenga [[mifupa]] na [[meno]]. Ina pia [[kazi]] katika [[Mshipa|mishipa]]. |
||
== Matumizi == |
== Matumizi == |
||
Kalisi ni muhimu sana katika maisha ya jamii |
Kalisi ni muhimu sana katika [[maisha]] ya [[jamii]]. [[Ujenzi]] hutegemea sana kalisi na kampaundi zake. [[Mawe ya chokaa]] yaliwahi kutumiwa kwa ujenzi wa [[nyumba]] tangu miaka [[elfu]] kadhaa. |
||
Kampaundi za kalisi ni pia msingi wa [[saruji]] na hivyo wa ujenzi wa kisasa. [[Chokaa]] ni kiungo cha lazima wakati wa kutengeneza [[feleji]]. |
Kampaundi za kalisi ni pia [[msingi]] wa [[saruji]] na hivyo wa ujenzi wa kisasa. [[Chokaa]] ni kiungo cha lazima wakati wa kutengeneza [[feleji]]. |
||
Salfati ya kalisi (Ca[SO4] • 2 H2O) ni [[jasi]]. |
Salfati ya kalisi (Ca[SO4] • 2 H2O) ni [[jasi]]. |
||
Mstari 44: | Mstari 45: | ||
[[Jamii:Metali za udongo alikalini]] |
[[Jamii:Metali za udongo alikalini]] |
||
[[Jamii:Elementi]] |
[[Jamii:Elementi]] |
||
[[af:Kalsium]] |
|||
[[an:Calcio]] |
|||
[[ar:كالسيوم]] |
|||
[[ast:Calciu]] |
|||
[[az:Kalsium]] |
|||
[[be:Кальцый]] |
|||
[[bg:Калций]] |
|||
[[bn:ক্যালসিয়াম]] |
|||
[[br:Kalsiom]] |
|||
[[bs:Kalcijum]] |
|||
[[ca:Calci]] |
|||
[[co:Calciu]] |
|||
[[cs:Vápník]] |
|||
[[cv:Кальци]] |
|||
[[cy:Calsiwm]] |
|||
[[da:Calcium]] |
|||
[[de:Calcium]] |
|||
[[dv:ކެލްސިއަމް]] |
|||
[[el:Ασβέστιο]] |
|||
[[en:Calcium]] |
|||
[[eo:Kalcio]] |
|||
[[es:Calcio]] |
|||
[[et:Kaltsium]] |
|||
[[eu:Kaltzio]] |
|||
[[fa:کلسیم]] |
|||
[[fi:Kalsium]] |
|||
[[fr:Calcium]] |
|||
[[frr:Kaltsium]] |
|||
[[fur:Calci]] |
|||
[[ga:Cailciam]] |
|||
[[gl:Calcio]] |
|||
[[gv:Kelkium]] |
|||
[[hak:Koi]] |
|||
[[haw:Kalipuna]] |
|||
[[he:סידן]] |
|||
[[hi:कैल्शियम]] |
|||
[[hif:Calcium]] |
|||
[[hr:Kalcij]] |
|||
[[ht:Kalsyòm]] |
|||
[[hu:Kalcium]] |
|||
[[hy:Կալցիում]] |
|||
[[ia:Calcium]] |
|||
[[id:Kalsium]] |
|||
[[io:Kalcio]] |
|||
[[is:Kalsín]] |
|||
[[it:Calcio (elemento)]] |
|||
[[ja:カルシウム]] |
|||
[[jbo:bogjinme]] |
|||
[[jv:Kalsium]] |
|||
[[ka:კალციუმი]] |
|||
[[kk:Кальций]] |
|||
[[kn:ಕ್ಯಾಲ್ಶಿಯಮ್]] |
|||
[[ko:칼슘]] |
|||
[[ku:Kalsiyûm]] |
|||
[[kv:Кальций]] |
|||
[[la:Calcium]] |
|||
[[lb:Kalzium]] |
|||
[[lij:Cäso (metallo)]] |
|||
[[lt:Kalcis]] |
|||
[[lv:Kalcijs]] |
|||
[[mi:Konupūmā]] |
|||
[[mk:Калциум]] |
|||
[[ml:കാൽസ്യം]] |
|||
[[mn:Кальци]] |
|||
[[mr:कॅल्शियम]] |
|||
[[mrj:Кальций]] |
|||
[[ms:Kalsium]] |
|||
[[my:ကယ်လဆီယမ်]] |
|||
[[nah:Tenextepoztli]] |
|||
[[nds:Calcium]] |
|||
[[nl:Calcium]] |
|||
[[nn:Kalsium]] |
|||
[[no:Kalsium]] |
|||
[[nv:Káálsiiyin]] |
|||
[[oc:Calci]] |
|||
[[pa:ਕੈਲਸ਼ੀਅਮ]] |
|||
[[pl:Wapń]] |
|||
[[pms:Càuss (element)]] |
|||
[[pnb:کیلشیم]] |
|||
[[pt:Cálcio]] |
|||
[[qu:Isku q'illay]] |
|||
[[ro:Calciu]] |
|||
[[ru:Кальций]] |
|||
[[sah:Калсиум]] |
|||
[[scn:Calciu (mitallu)]] |
|||
[[sh:Kalcij]] |
|||
[[si:කැල්සියම්]] |
|||
[[simple:Calcium]] |
|||
[[sk:Vápnik]] |
|||
[[sl:Kalcij]] |
|||
[[sq:Kalciumi]] |
|||
[[sr:Калцијум]] |
|||
[[stq:Calcium]] |
|||
[[su:Kalsium]] |
|||
[[sv:Kalcium]] |
|||
[[ta:கல்சியம்]] |
|||
[[te:కాల్షియమ్]] |
|||
[[tg:Калсий]] |
|||
[[th:แคลเซียม]] |
|||
[[tl:Kalsiyo]] |
|||
[[tr:Kalsiyum]] |
|||
[[ug:كالتىسىي]] |
|||
[[uk:Кальцій]] |
|||
[[uz:Kalsiy]] |
|||
[[vi:Canxi]] |
|||
[[war:Calsyo]] |
|||
[[xal:Калцион]] |
|||
[[yi:קאלציום]] |
|||
[[yo:Calcium]] |
|||
[[zh:钙]] |
|||
[[zh-min-nan:Ca (goân-sò͘)]] |
|||
[[zh-yue:鈣]] |
Toleo la sasa la 08:01, 17 Januari 2020
Kalisi | |
---|---|
Jina la Elementi | Kalisi |
Alama | Ca |
Namba atomia | 20 |
Mfululizo safu | metali ya udongo alikalini |
Uzani atomia | 40.078 |
Densiti | 1.55 |
Ugumu (Mohs) | 1.75 |
Kiwango cha kuyeyuka | 1115 K (842 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 1757 K (1484 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 3.39 % |
Hali maada | mango |
Kalisi ni elementi na metali ya udongo alkalini yenye namba atomia 20 kwenye mfumo radidia ina uzani atomia 40.078. Alama yake ni Ca. Jina linahusiana na neno la Kilatini calx (mawe ya chokaa).
Tabia
[hariri | hariri chanzo]Kalisi ni kati ya elementi zinazopatiikana kwa wingi duniani, ikiwa na nafasi ya tano: asilimia 3.39 za ganda la dunia ni kalisi. Ikisafishwa hutokea kama metali laini yenye rangi nyeupe-fedha.
Inamenyuka rahisi kikemia hivyo haitokei kama elementi tupu lakini kwa kampaundi mbalimbali hasa katika mawe.
Unga wa kalisi au vipande vidogo vya metali huungua moto wenye rangi ya njano-nyekundu, unga hata bila kuwashwa kwa kumenyuka hewani tu.
Kalisi ni muhimu kwa miili ya wanadamu na wanyama, pia kwa mimea, kwa sababu inajenga mifupa na meno. Ina pia kazi katika mishipa.
Matumizi
[hariri | hariri chanzo]Kalisi ni muhimu sana katika maisha ya jamii. Ujenzi hutegemea sana kalisi na kampaundi zake. Mawe ya chokaa yaliwahi kutumiwa kwa ujenzi wa nyumba tangu miaka elfu kadhaa.
Kampaundi za kalisi ni pia msingi wa saruji na hivyo wa ujenzi wa kisasa. Chokaa ni kiungo cha lazima wakati wa kutengeneza feleji.
Salfati ya kalisi (Ca[SO4] • 2 H2O) ni jasi.
-
Kalisi tupu ikitunzwa katika gesi ya arigoni ndani ya chupa
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kalisi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |