Kikroatia
lugha
Kikroatia (kwa Kikroatia: hrvatski jezik; kwa Kiingereza: Croatian language) ni tawi la Kiserbokroatia, moja kati ya lugha za Kislavoni, za jamii ya Lugha za Kihindi-Kiulaya, linalozungumzwa zaidi katika nchi ya Kroatia.
Lugha ya Kikroatia | ||||||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kinazungumzwa katika: | Kroatia (milioni 4); Pia kuna wazungumzaji katika Australia, Kanada, Uingereza, Marekani, Ufaransa, Ujerumani, Argentina, Brazil, na nchi nyingine. | |||||||||||||||||||||||
Waongeaji: | zaidi ya milioni 5.6 | |||||||||||||||||||||||
Kama lugha rasmi: | ||||||||||||||||||||||||
Nchi: | Kroatia | |||||||||||||||||||||||
Uianishaji wa kiisimu: | ||||||||||||||||||||||||
Lugha za Kihindi-Kiulaya
|
Kikroatia kilikuwa lugha rasmi ya Yugoslavia pamoja na Kislovenia, Kiserbia na Kimasedonia.
Kufuatana na tofauti za utamaduni na madhehebu, Kiserbokroatia kinaandikwa kwa alfabeti ya Kilatini upande wa Magharibi katika eneo la Kroatia na kwa alfabeti ya Kisirili upande wa Mashariki katika eneo la Serbia.
-
(a)
-
(be)
-
(ce)
-
(če)
-
(će)
-
(de)
-
(dže)
-
(đe)
-
(e)
-
(ef)
-
(ge)
-
(ha)
-
(i)
-
(je)
-
(ka)
-
(el)
-
(elj)
-
(em)
-
(en)
-
(enj)
-
(o)
-
(pe)
-
(er)
-
(es)
-
(eš)
-
(te)
-
(u)
-
(ve)
-
(ze)
-
(že)
-
(i(j)e)
-
(ŕ)
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
.
Viungo vya nje
hariri- makala za OLAC kuhusu Kikroatia Ilihifadhiwa 21 Julai 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikroatia katika Ethnologue
- Englis - Kikroatia
- Vocabulario básico croata con locuciones
- Croatian language
- Lengua Croata En español Ilihifadhiwa 18 Mei 2007 kwenye Wayback Machine.
- Institute Kikroatia Ilihifadhiwa 6 Julai 2006 kwenye Wayback Machine.
- Kikroatia Academy
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikroatia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |