Mariam Baouardy : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
(Sahihisho moja la kati na mtumizi yuleyule ambaye hajaonyeshwa) | |||
Mstari 4:
Baada ya kufiwa [[wazazi]] alihamia [[Aleksandria]], [[Misri]], alipoteswa na [[ndugu]] ya [[baba]] yake kwa kukataa kuolewa akachanwa [[koo]] na [[Mwislamu]] fulani kwa kukataa [[kusilimu]], alinusurika kufa kwa msaada wa [[Bikira Maria]], ila [[sauti]] haikutoka tena sawasawa hadi mwisho wa [[maisha]] yake<ref name=eparchy>[https://melkite.org/faith/faith-worship/maram-baouardy "Maram Baouardy", Melkite Eparchy of Newton]</ref>. Baadaye alipatwa na [[upofu]] akabaki hivyo siku 40, kisha akapona ghafla.
Pamoja na kuhudumia [[maskini]] kwa [[upendo]] alijulikana kwa [[karama]] zake za pekee, yakiwemo [[Madonda matakatifu|madonda matano]] ya [[Yesu]] [[Mwili|mwilini]] mwake<ref>https://www.santiebeati.it/dettaglio/90045</ref>.
[[Papa Yohane Paulo II]] alimtangaza [[mwenye heri]] [[tarehe]] [[13 Novemba]] [[1983]], [[Papa Fransisko]] akamtangaza [[mtakatifu]] tarehe [[17 Mei]] [[2015]].
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe ya [[kifo]] chake<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
==Tazama pia==
Mstari 21:
==Viungo vya nje==
* [https://web.archive.org/web/20110725141030/http://www.carmelholyland.org/english/insmariam.htm Blessed Mariam of Bethlehem at the site of the Carmelites of the Holy Land]
{{mbegu-Mkristo}}
{{BD|1846|1878}}
|